Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua kirinjiko hiyo kuna upepo mkali sana pale ....Kuhusu nyoka..Same ni moja ya eneo lenye nyoka wengi sana,Majira ya saa 10 alasiri Same kilimanjaro nikielekea Dar, ndani ya gari tupo watatu, mmoja dada askari JkT amekaa kushoto kwangu.
Ghafla akatokea Nyoka mkubwa tokea kushoto mwa barabara kuelekea kulia.
Ninawaambia mnameona yule nyoka?
Wote wananishangaa hawaoni kitu.
Jambo la ajabu nilipofika eneo alokatisha nyoka upepo ulivuma sana kiasi cha gari kuhama barabarani.
Nilibaki na maswali hadi leo