Majira ya saa 10 alasiri Same kilimanjaro nikielekea Dar, ndani ya gari tupo watatu, mmoja dada askari JkT amekaa kushoto kwangu.
Ghafla akatokea Nyoka mkubwa tokea kushoto mwa barabara kuelekea kulia.
Ninawaambia mnameona yule nyoka?
Wote wananishangaa hawaoni kitu.
Jambo la ajabu nilipofika eneo alokatisha nyoka upepo ulivuma sana kiasi cha gari kuhama barabarani.
Nilibaki na maswali hadi leo