Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kwenu wanavaaje?boraa mmewasema wanatiaa aibu sana huku mtaani yani ukiwaona tuu kichefu chefu
Changia chiefHii mijadala kwangu hua naiona migumu sana, hata jinsi ya kuchangia napata ukakasi sana
Hao ni wanaume wa Kino.Hivo vipensi vinavyoishia juu ya magoti wanaume wa dar wanavivaa sana. Na chini wanavaa vile visendo vya adidas au Gucci.
Ila wanaume wa dar wana mapaja[emoji23][emoji23][emoji23]paja paja.
Wanaona raha kuliwa!!hii mijamaa ni mipimbi sana, kiufupi ipigwe vita kwa namna yoyote ile
Mimi nadhani shida ni vijana wa leo kutokutambua nafasi zao katika jamii.Changia chief
kwa mavazi yanatupia za kiumee kama wanaumee halisi ila ndani ya mavazi kumbee yananusu ya mwili wa kikee ukiangalia tembea,ongea, unajuaa hili "bwabwa"Huko kwenu wanavaaje?
Ndio, ukimla aidha wewe baadaye utageuka kuwa shoga au mwanao wa kiume atakuwa shoga. Nimeipata hii mifano uswahilini
kuvaa hereni vipi?
Tuwaombee kwa Mungu,ili awabadilishe,maana hakuna lisilowezekana kwake.Shoga ni laana, tusiwachukulie poa.
Labda tuwaulize wadau watupe ujuziKwaiyo mnataka kusema ukiwa una paja limenona we ni chakula ya watu!