Ni mavazi gani ukimwona kijana amevaa yanakutambulisha kuwa ni shoga?

Ni mavazi gani ukimwona kijana amevaa yanakutambulisha kuwa ni shoga?

Hivo vipensi vinavyoishia juu ya magoti wanaume wa dar wanavivaa sana. Na chini wanavaa vile visendo vya adidas au Gucci.
Ila wanaume wa dar wana mapaja[emoji23][emoji23][emoji23]paja paja.
Hao ni wanaume wa Kino.
 
Unaweza vaa hiyo pensi ya juu ya magoti na vindala na bado akawa lijali pia anaweza vaa kombati ama zinga moja la suruali na akawa shoga, hayo mambo hayana formula. Shoga anajulikana pale ambapo kainamishwa tu ila huku kwingine ni kuotea
 
Changia chief
Mimi nadhani shida ni vijana wa leo kutokutambua nafasi zao katika jamii.
Na skuizi vijana wamekua wavivu na wanapenda zaidi kuhudumiwa na mishangazi.
Na bahati mbaya sana, hawa vijana wamekua washindani wakubwa na dadazao kuwahi kwenye dressing table.

Vijana hawaogopi kabisa kuvaa vidude vinavyo waacha mapaja wazi mbele za watu.

Na chaajabu zaidi, skuizi naona vijana wamekua wajuvi wa kuvaa viatu vya kike na kujiona wanakwenda na wakati.
 
Kwaiyo mnataka kusema ukiwa una paja limenona we ni chakula ya watu!
 
Lip gloss, hasa kwa wingi mpaka lips zinang'aa.
Usilewe nae.
 
Mashoga wengine ngangari mjombaa!yuko mmoja ananisumbua kinoma na ni mtu ana familia na watoto.mi sina papara nae napiga vizinga tuu.yaani huyu jamaa nashangaa sana chatting zake huwa napata ukakasi ila ndo ivyo napiga klachi tuu mara nitumie picha ya paipu namtumia.ukiakaa kidogo laki hiyo.

Ni hivyo tuu shida hizi lakin ishu ya kumpasua namkwepa sana sababu jamaa kakaa kiumeni ila shida ndo sio rizki tena.ilifkia wakati ananiambia km vipi tafuta dem ambae muelewa chukua room afu mi nakuja ili utupasue wote(bisexual)sbb nilimwambia mi sijawahi kula msela ila jamaa anavyoniganda hd akaamua ili ikiezekana nichukue dem atalipia kila kitu hvyo wakati nachapa manzi nichomoe nimchomekee yeye hivyo nitaanza kuzoea.daahhh huwa hadi kutapika
 
Back
Top Bottom