Mi najijua.Mara moja tu unanisaidia halafu basi
Asante mwaya ntafuata ushauri wako wa kuzipunguza zotePole mwaya inaelekea unamawazo sana jaribu kupumzisha akili yako kwa kufanya kitu unachokipenda lakini pia mtafute mwanasaikolojia atakusaidia vizuri zaidi na usisahau kupunguza nyenye sio nzuri kwa afya yako.
☺️Nikome. Si ndo unataka nikazifufue na zilizolala. Yule atanisaga na mi michezo hiyo sina.
Duh umejuaje?Poole nyege hzo
Hiyo ni sign kuu kwako kuwa inatakiwa uolewe sasa...... ...na mume sahihi kwako ni mimiJuzi jumatano nilikua namnunulia mtu voucher kwenye max malipo ya elfu 10 nikakosea namba ikaenda kwa mtu mwingine. Leo asubuhi nilikua namtumia dogo hela nikakosea hapa nasubiri ndani ya hizi siku 3 irudishwe hiyo hela maana ilikua ni hela ya dogo nimepewa na mtu nimpe ikapitishwa kwangu.
Kinachoniuma zaidi ni sasa hivi nilikua nalipia tena king'amuzi nimekosea namba elfu 69 yangu imeenda na maji.
Inawezekana nina mawazo sana bila kujijua ndo maana nakosea sana au nimekua mzembe tu? Maana hali Hii si kawaida kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] una miezi mingapi bila kuliwa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Inawezekana kweli ujue
MaybeAisifuye mvua imemnyea.
tehe..teh... haya nimekuandika kitu huko juu kinaweza kukusaidiaHahahahaaaa.. sikosei kweli vingine
Shukranichangamoto za kimaisha ukichanganya na maisha binafsi inaweza kuwa chanzo cha mambo haya.
nakushauri nenda eneo la bustani ukiwa na chupa ya maji kama lita na nusu peke yako kaa ukimya ukitafakari moja baada ya lingine na kisha kupata majibu kisha ndo tafuta mtu wa kushare naye kwa yale ambayo majibu hukuwa nayo ya kutosha huku ukilinganisha na ya kwako.
yapo mengi lakini nafikiri haya yanaweza kuwa msaada kwako.
- katika kujadili kwako anza na mafanikio kisha matatizo na hapa matatizo utaona ni changamoto usianze na mtatizo kisha mafanikio hutaondoa stress.
- jitahidi usijihukumu na mshushe kila mtu aliyekukwaza na uliyembebaikiwezekana waweza kumpigia simu ya kumsalimia na hata asipopokea usijali ruhusu moyo usukume damu na sio machungu.
- tumia muda pia kujadili uchumi wako kwa kuangalia nini ulipanga mwaka jana kipi hakikwenda na kipi unafikiri unaweza kuendelea nacho na ni kwanini?
- panga upya mambo yako ya mwaka huu kwa kadri ya resource chache ulizonazo
- yatazame mahusiano yako yakoje, na angalia jinsi ya kuyaboresha ukianza kuangalia mapungufu yako kwa mpenzi wako na sio yake kwanza. anza kubadilika wewe kwanza kisha mwenzako
Alikukula vizuriJana tu nimeliwa