Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Mkuu upo safi
Ila hapa ni nyeegee
 
Mh hiyo ngum kumeza aisee. Itakuwa kuna MTU mwingine anakukontrol mikono na mawazo Yako. Omba dua
 
punguza mawazo jomba, jana nimeenda ktk ATM nlisahau password ikamezwa [emoji16] [emoji16]

ila mda uleule wakanitolea nkarudia tena mambo yakawa murua,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…