ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Sometimes the biggest problems have the simplest answers.Sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes the biggest problems have the simplest answers.Sawa.
Asante nawe kwa kushukuru,Ubarikiwe sanaNashukuru kwa kunisaidia kugundua tatizo.
Kukosea namba kwenye simu kutokana na matatizo ya macho na si mawazo kama unavyofikiria.Kama?
Hakuna kaziSasa mbona tiba yake kuipata kazi
Mara ya mwisho kukutana na mwenzako lini?Juzi jumatano nilikua namnunulia mtu voucher kwenye max malipo ya elfu 10 nikakosea namba ikaenda kwa mtu mwingine. Leo asubuhi nilikua namtumia dogo hela nikakosea hapa nasubiri ndani ya hizi siku 3 irudishwe hiyo hela maana ilikua ni hela ya dogo nimepewa na mtu nimpe ikapitishwa kwangu.
Kinachoniuma zaidi ni sasa hivi nilikua nalipia tena king'amuzi nimekosea namba elfu 69 yangu imeenda na maji.
Inawezekana nina mawazo sana bila kujijua ndo maana nakosea sana au nimekua mzembe tu? Maana hali Hii si kawaida kabisa
Ya vocha nilikua naona kabisa 5 halafu nasema 6. Alivyomakiza kununua tu kabla hajanipa risiti nikamuuliza kama alikua anaweka 5 au 6. Nahisi uzembe zaidi.Kukosea namba kwenye simu kutokana na matatizo ya macho na si mawazo kama unavyofikiria.
Hio kidogo Unaweza ona kidogo lakini kumbe umezidisha.Au hazipendi kichwa chako zinaishia kufuta mafolder ya muhimu.Sina unywaji wa hivyo mpaka nipoteze kumbukumbu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mganga wa kienyeji ninapatikana hapa kwa huduma kupitia piem....
1. Ninatibu maradhi ya kukosea kutuma hela.
2. Ninatibu maradhi ya kukosea kufanya muamala.
3. Ninatibu msongo wa mawazo ambao hupelekea kusahau.
4. Ninatibu kusahau ambapo husababisha kujilaumu.
5. Pia ninatibu na kadhalika.
Nyote nawakaribisha piem
Npm namba yako nkuchekiNdo ipi hiyo?
Pole sana mkuu, pia karibu sana huku kwenye tiba....[emoji12] [emoji12][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pole sanaNovember