Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Jaribu kuzinakiri hizo namba kwa kuacha nafasi moja baada ya nyingine maana utakuwa unaumia kila wakati huwa inatokea kukosea ukiwa na mawazo, pole sana
Asantee
 
Nitaisaidia serikali kukusanya pia maana ndo nilichokihangaikia 3 yrs ifm
Hahahah..! Kumbe ndiyo shida yako mtoza ushuru uolewi kipindi hichi cha magu..!

Afu IFM nyie mabinti wa huku, ukimaliza pale ukiwa salama ujue si nguvu na akili zako..!
 
Hahahah..! Kumbe ndiyo shida yako mtoza ushuru uolewi kipindi hichi cha magu..!

Afu IFM nyie mabinti wa huku, ukimaliza pale ukiwa salama ujue si nguvu na akili zako..!
Kwanini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Inawezekana kweli ujue
Kweli na kucheka cheka huko ni dalili moja wapo ya genye
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Inawezekana kweli ujue
Tatizo hutaki kufunga kufuli, upepo ukikolea unaleta madhara
 
Back
Top Bottom