Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Mara ya mwisho kukutana na mwenzako lini?
 
Kukosea namba kwenye simu kutokana na matatizo ya macho na si mawazo kama unavyofikiria.
Ya vocha nilikua naona kabisa 5 halafu nasema 6. Alivyomakiza kununua tu kabla hajanipa risiti nikamuuliza kama alikua anaweka 5 au 6. Nahisi uzembe zaidi.
 
Mganga wa kienyeji ninapatikana hapa kwa huduma kupitia piem....
1. Ninatibu maradhi ya kukosea kutuma hela.
2. Ninatibu maradhi ya kukosea kufanya muamala.
3. Ninatibu msongo wa mawazo ambao hupelekea kusahau.
4. Ninatibu kusahau ambapo husababisha kujilaumu.
5. Pia ninatibu na kadhalika.

Nyote nawakaribisha piem
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…