Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Kuna demu wangu wa form five na six(Juliet), aliporwa na kigogo mmoja (masha) wakati wake nilitamni kujiua sina hamu na nyie viumbe wa ifm tena..!
Polee. Ila huyo kigogo alipita tu maaba angekua mwanamke wake kabisa kabisa ningemjua
 
We acha tuuh..! Si kwa chura ile juliet nilijua nitaporwa tuuh..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kumbe ulitaka mwenyewe stress. Mwanamkee mwenye chura kaa nae ukiwa unajiaminu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kumbe ulitaka mwenyewe stress. Mwanamkee mwenye chura kaa nae ukiwa unajiaminu
Alikuwa na chura balaaa..! Mh. Alifika bei kidume niligugumia maumivu hatari mno, nilianza naye mbali aisei, kama yuo humu akisoma ataelewa tuuh
 
Una tatizo kubwa sana. Nicheki PM kwa ushauri nasaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…