Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

ungekosea kumpa mtu uchi hapo ningesema ni mawazo yanakusumbua...ila kama ni pesa that mins ww ni kichwa cha panzi ubongo wa senene
 
ungekosea kumpa mtu uchi hapo ningesema ni mawazo yanakusumbua...ila kama ni pesa that mins ww ni kichwa cha panzi ubongo wa senene
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Sawa
 
Juzi jumatano nilikua namnunulia mtu voucher kwenye max malipo ya elfu 10 nikakosea namba ikaenda kwa mtu mwingine. Leo asubuhi nilikua namtumia dogo hela nikakosea hapa nasubiri ndani ya hizi siku 3 irudishwe hiyo hela maana ilikua ni hela ya dogo nimepewa na mtu nimpe ikapitishwa kwangu.
Kinachoniuma zaidi ni sasa hivi nilikua nalipia tena king'amuzi nimekosea namba elfu 69 yangu imeenda na maji.
Inawezekana nina mawazo sana bila kujijua ndo maana nakosea sana au nimekua mzembe tu? Maana hali Hii si kawaida kabisa
Hahaaa kuna mtu anakufanyia kamchezo twende kwa msisi
 
Kuolewa mchezo ndugu yangu??? Nashukuru kwa kuniwazia mazuri pia
Utaolewa tuuh, shida yenu masharti mengi kama wagaga wa jadi..!

Pungu masharti ujue hizo ndume zinazokutafuna zinaleta depression etii...!
 
Utaolewa tuuh, shida yenu masharti mengi kama wagaga wa jadi..!

Pungu masharti ujue hizo ndume zinazokutafuna zinaleta depression etii...!
Mi sina masharti mkuu. Sijabahatika tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Inawezekana kweli ujue
Hahahaaa
Kweli kama unamuda mrefu ni tatizo
 
Pole sana,kuna kitu kimekuondolea kujiamini (self confidence).
Kila unachofanya hujiamini unajihami hivyo unakuta ushakosea tena.
Dawa ni kujiamini.asante
Nashukuru kwa kunisaidia kugundua tatizo.
 
Miezi miwili ni mingi sana.kitu kingine kinachomfanya mtu asahau au kupoteza umakini ni pombe.huwa sometimes inapunguza kwa mda kumbukumbu.
Sina unywaji wa hivyo mpaka nipoteze kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom