Ni mazoea mabaya kuombaomba kuchangiwa mara kwa mara

Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa.

Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao hawawezi kukataa kuchangia kwasabb wamefundishwa utamaduni kutoa. Utamaduni na malezi haya sio fursa ya kuchangiwa ndugu zangu 🐒

Ni vizuri na muhimu sana kujifuza kujitegemea. Kufanya kazi kwa bidii ili kujiongezea kipato cha kutosha na kuepuka fedheha na aibu ya kutegemea kuomba na kuchangiwa mara kwa mara.

Ni aibu na fedheha kubwa kwa wana familia, ndugu, jamaa, marafiki na taasisi uliopo na kwamba kuomba omba kwako kuna maanisha, hawakujali, hawana uwezo, hawakusaidii na hawana kabisaa msaada kwako. Unawaumiza, unawafedhehesha hawasemi lakini wanaumia sana, hujui tu 🐒
Mazoea hujenga tabia ,(begging is the last thing to do in life)
 
Omba omba ni serikali ya chama Cha mapinduzi CCM kwa wazungu nina uhakika hata bajeti ya nchi kwa asilimia kubwa ni mkono wa mabeberu
 
Hao waliopo madarakani wameshakula sana Fadhili za Nchi sasa ni wakati muafaka wakang’atuka madarakani ili wawaachie Watanzania wenzao nao waanze kula Neema za Nchi ,

Wakifanya hivyo utaona mambo ya kuchangiwa changiwa yataisha ,
Ubaya wa watu walafi huwa hawataki kabisa kuwaachia na wengine wahomondole Neema za Nchi 👁🫵
 
Kila mtu afanye maisha yake.Acha kuangaika na kuwashwa na maisha ya watu.wewe kama nyota haing'ai punguza wivu kwa waliobarikiwa.Watu tunachanga hadi damu sembuse pesa.
 
Omba omba ni serikali ya chama Cha mapinduzi CCM kwa wazungu nina uhakika hata bajeti ya nchi kwa asilimia kubwa ni mkono wa mabeberu
kibaraka alichangiwa na hawa wanyonge, kwa matibabu wakati alipata shida, mabwenyenye ya magharibi yakasema yatamtibu bure, alipopona, akawaomba diaspora wamchangie pesa, eti kwajili ya ada ya watoto wake ataabika akishindwa kuwalipia, wakamchangia millions of dollars 🐒

Pesa za join the chain naona zilimpitia juu kwa juu na machekbob pale party HQ, ndio maana alikua anang"aka sana, kujua zimetumikaje, maana anaona manyoya tu 🤣

haitoshi leo hii anaomba tena anchangiwe anunue gari la kifahari 🤣

I'm sure akifanikiwa Lazima ataomba tena anchangiwe mafuta ya hiyo gari na hii yote ni njia ya kuifanya chadema ionekane haimjali, lakini pia ni gia ya kuondoka chadema na watu kisiasa, na kujisambaratisha kabisa 🐒
 
Hivi hayo mambo ya kuchangishana yanatoka wapi kwani hauna budget yake?
kisiasa hiyo ni namna ya kuipaint taasisi yake yaani chadema, kwamba haimjali na wala haimsaidii chochote, ispokua wanachama wake ndio wanaomsaidia,

lakini pia hii ni njia ya kutengeneza njia na mazingira ya kuexit chadema na watu, na kujisambaratisha kabisa 🐒
 
mshahara, pesa za matibabu na marupurupu vilitosha kununua gari ya maana sana 🐒

kwasabb ya mazoea mabaya sana ya kuomba omba ndio maana tena anaomba achangiwe, haitapita mwaka ataomba achangiwe mafuta 🐒
Kama ni rahisi omba na ww, yeye anatuomba sisi tunaoona thamani yake, mbona ww unachangia mwenge wa uhuru, kwani serekali imeshindwa?
 
Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa.

Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao hawawezi kukataa kuchangia kwasabb wamefundishwa utamaduni kutoa. Utamaduni na malezi haya sio fursa ya kuchangiwa ndugu zangu 🐒

Ni vizuri na muhimu sana kujifuza kujitegemea. Kufanya kazi kwa bidii ili kujiongezea kipato cha kutosha na kuepuka fedheha na aibu ya kutegemea kuomba na kuchangiwa mara kwa mara.

Ni aibu na fedheha kubwa kwa wana familia, ndugu, jamaa, marafiki na taasisi uliopo na kwamba kuomba omba kwako kuna maanisha, hawakujali, hawana uwezo, hawakusaidii na hawana kabisaa msaada kwako. Unawaumiza, unawafedhehesha hawasemi lakini wanaumia sana, hujui tu 🐒
Ni kweli serikali ombaomba ya ccm
Inawawaomba sana wanyonge kupitia tozo na Kodi,

Lakini pia kupitia waziri wa fedha serikali hii dhaifu imekuwa ikitembeza bakuli kwa wahisani kwa ajili ya kuomba hela za kuendesha serikali

Juzi tu wafanyabiashara wote tuliomba tuchangie mbio za mwenge
Na hivi tunakaribis uchaguzi mkuu tutaombwa tuchangie kampeni

Niliona mahali walimu na watumishi wa umma Wakilazimishwa kuchangia hela ya kumchukulia fomu mwenyekiti wa chama flan ili apitishwe kugombea uraisi
 
Kama ni rahisi omba na ww, yeye anatuomba sisi tunaoona thamani yake, mbona ww unachangia mwenge wa uhuru, kwani serekali imeshindwa?
Namuomba na kumuamini Mungu pekeyake....

biligombea ubunge kwa mara ya kwanza nikiwa na laki5 pekeyake, tena kwa kutumia pikipiki aina ya baja ambalo halina hata stakabadhi muhimu, ni la zamani sana nyumbani.

sikuthubutu kujiingiza kwenye fedheha na aibu ya kuombaomba hali ya kua ni mzima wa afya, nina nguvu, bidii na akili timamu na uwezo wa kufanya kazi n.k na leo hii na mimi ni, naweza sema kamtu fulani mahali Fulani. sibabaiki tena 🐒
 
Ni kweli serikali ombaomba ya ccm
Inawawaomba sana wanyonge kupitia tozo na Kodi,

Lakini pia kupitia waziri wa fedha serikali hii dhaifu imekuwa ikitembeza bakuli kwa wahisani kwa ajili ya kuomba hela za kuendesha serikali

Juzi tu wafanyabiashara wote tuliomba tuchangie mbio za mwenge
Na hivi tunakaribis uchaguzi mkuu tutaombwa tuchangie kampeni

Niliona mahali walimu na watumishi wa umma Wakilazimishwa kuchangia hela ya kumchukulia fomu mwenyekiti wa chama flan ili apitishwe kugombea uraisi
nikueleze tu gentleman ,

hizo stori na porojo unaleta haiwezi kuficha ile aibu na fedheha familia wana pitia, marafiki wanapitia, ndugu, jamaa, chadema na Taifa kwa ujumla wanapitia, juu ya ombaomba hii ya mara kwa mara ya huyu muungwana kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi. Inaumiza sana aise 🐒

Lakini jambo ambalo wengi hafahamu, hiyo ni exit signal ya huyo kibaraka ndani ya Chadema. Anaondoka huyo. Kwa ombaomba hii anataka kuaminisha uma kwamba chadema haimjali wala haina uwezo wa kumnunulia gari ila wanachama wake 🐒

hayo ni mazingira ya kuondoka chadema na wanachama wake, coz baadae ataomba achangiwe mafuta coz chama hakitoi mafuta kwa gari binafsi 🐒

at the end ataomba achangiwe kila kitu na mwisho wa siku itaonekana ni useless kua chadema coz haimsaidii chochote bora aanzishe chama au ahamie chama kingine kuliko kuendelea kua kwenye chama kisicho mthamini 🐒
 
Hao waliopo madarakani wameshakula sana Fadhili za Nchi sasa ni wakati muafaka wakang’atuka madarakani ili wawaachie Watanzania wenzao nao waanze kula Neema za Nchi ,

Wakifanya hivyo utaona mambo ya kuchangiwa changiwa yataisha ,
Ubaya wa watu walafi huwa hawataki kabisa kuwaachia na wengine wahomondole Neema za Nchi 👁🫵
unajua kuombaomba kuchangiwa ni mazoea na ubinafsi mbaya wa kiwango cha juu sana 🐒

kwamba wewe ni wa muhimu zaidi ya wengine wenye shida na matatizo mazito wanayopitia. Na halafu hii spirit hukua ndani ya mtu, na kua ndio mtindo wa maisha halisi ya mtu 🐒
 
Back
Top Bottom