Ni mazoea mabaya kuombaomba kuchangiwa mara kwa mara

Kila mtu afanye maisha yake.Acha kuangaika na kuwashwa na maisha ya watu.wewe kama nyota haing'ai punguza wivu kwa waliobarikiwa.Watu tunachanga hadi damu sembuse pesa.
ni lazima kukemea tabia na utamaduni usio faa. kujitegemea ni jambo la maana zaidi. kungarisha nyota kwa fedheha ya kuomba omba mara kwa mara ni aibu sana kwa watoto, wazazi na wanaFamilia kwa ujumla πŸ’
 
Ccm mbona ,inaomba sana ni aibu kwa nani?

Chadema hela wataitoa wapi zaidi ya michango ya wanachama na ndicho kinachofanyika

Hayo mambo ya exit ni hisia zako tu
Hata mama yenu hajaonekana wiki mbili ameshindwa kuhudhulia kikao Cha kamati kuu

Tusema naye ni exit?
 
Umeongea kweli tupu ila kwakua watanzania ni wanafiki wakubwa watakupinga wewe na wengine wenye mtazamo huu
 
najiskia kukupatia ng'ambe wa maziwa, umfuge na kuvuna maziwa yakupatie kama hizo nyingi zaidi halafu sifa, utukufu na shukrani viwe kwa Mungu, right?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ameeeeen,, praise the Lord everybody
 
nakusanua unashupaza shingo shauli yao, watch it πŸ’

kwahiyo baada ya kumchangia huyu muungwana alie omba kuchangiwa gari,
na umekiri chadema kinaendeshwa na wanachama,

je, kuchangia mafuta kutaanza lini?

na mafuta ya gari ya chairman huchangiwa na nani wapi?

na hiyo gari ni ya chama au ya kibaraka mwenyewe as personal πŸ’
 
We jamaa empty headed, yaani unaongelea mambo ya kujitegemea wakati bajeti ya nchi iliyosomwa juzi 80% inategemea misaada?

Alafu unajiita mbunge
Hi nchi Ina wapumbavu wengi sana
 
Huyu bwana alikuwa uhamishonii kwenye matibabu ndo amerejea
Stahiki zake hajalipwa hana kipato.
Bado hapata kazi za uwakili
Sioni shida akiomba msaada apate pa Kuanzia

Tutamlaumu ikiwa tutamchangia Leo
Alafu akirudi tena kesho kuombwa michango bila sababu za msingi
 
Umeongea kweli tupu ila kwakua watanzania ni wanafiki wakubwa watakupinga wewe na wengine wenye mtazamo huu
muhimu zaidi ni wachache tu waelewe na itapendeza zaidi mkuu...

yaani kwa hali ilivyo nchini kwa sasa, kuchange mindset ya generations tofauti tofauti kua na aim na understanding ya pamoja ni kazi sana but slowly we can ....

and you know,
hapo ndipo tatizo likoπŸ’
 
Ogopa sana mtu mwenye tabia ya kuombaomba na maisha anataka kuishi ya juu kwa kuombaomba. Hasa msomi kama lissu. Mtu aina hiyo anaweza kutumiwa kama kibaraka mzuri na adui wa taifa hata wenye kutaka kueneza mambo mabaya kama kuibia nchi au kupora uhuru wake. Juzi hapa mzee wetu Museveni kaonya kwamba ukiwa ombaomba unaweza pelekeshwa kua malaya hata kua shoga. Ni kupenda vya bure tu kwa sababu hiyo gari inatengenezeka kabisa na kua kama mpya na mwenyeye hajakosa uwezo.
 
Mbona hujapeleka hiyo elimu ya kuchange mindset za maccm wenzio

Au mindset change ni default kwa chadema
Kwenda zako na wivu wako na nia yako ovu
 
We jamaa empty headed, yaani unaongelea mambo ya kujitegemea wakati bajeti ya nchi iliyosomwa juzi 80% inategemea misaada?

Alafu unajiita mbunge
Hi nchi Ina wapumbavu wengi sana
gentleman,
nilienda kugombea ubunge kwa mara ya kwanza nina lak5 pekeyake mfukoni....

nilitumia usafiri wa piki piki aina ya baja kufanya kampeni zangu, tena baja kuu kuu kweli kweli, halina stakabadhi maalumu wala mad guard, break za kutafuta πŸ’

ningekua mtu mvivu wa kuomba omba nani angeniamini na kuchagua kiongozi ombaomba?

ile bidii niko nayo, ile maombi kwa Mungu nilifanya, na ile roho ya ujasiri na kutokukata tamaa nilikua nayo ndio imenifanya kua kakitu mbele ya watu πŸ’

there is no way,
unatamani au una nia ya kua kiongozi wa jamii halafu ukiwa na afya njema, nguvu, akili timamu, kazi na shughuli za kufanya zipo then eti unaomba omba sijui uchangiwe nini ati ndio uwe kiongozi mzuri πŸ’

si,
ungekuja na hiyo pikipiki yao au gari yako mbovu huko kwenye kampeni then wanainchi waguswe na ugumu unayopitia kwa hiyo gari mbaya uko nayo ili una hoja za maana ndio wanainchi wenyewe wakuchangie?

You know kwa staili hiyo,
You have completely lost the support of undecided voters lakini pia the support of other parties, apart from chadema itself politically speaking πŸ’
 
Mbona hujapeleka hiyo elimu ya kuchange mindset za maccm wenzio

Au mindset change ni default kwa chadema
Kwenda zako na wivu wako na nia yako ovu
suala la generations mindset sio issue ya ccm ama chadema pekee ni issue ya nchi nzima πŸ’

ni suala pana sana nasita kuconfuse kamanda πŸ’

La muhimu zaidi ni kujitegemea, tuache tabia ya kuchangiwa na kuombaomba πŸ’
 
Shukrani sana comrade kwa msisitizo wako Juu ya jambo hili la aibu na fedheha sana πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
kwahiyo unataka kusema muungwana, aliudanganya umma kwa kusema uongo, kwamba baada ya kukutana na Rais, comrade Dr Samia Suluhu Hassan huko ughaibuni, madai na stahiki zake za mishahara pamoja na pesa ya matibabu yalilipwa...

unapotosha kwa makusudi ama hauna taarifa kamanda πŸ’
 
Mlitaka lisu afe Mungu akaingilia kati akamtwa jiwe mwendazake bahari ikatulia taifa likapona
 
Mlitaka lisu afe Mungu akaingilia kati akamtwa jiwe mwendazake bahari ikatulia taifa likapona
nazungumzia tabia mbaya ya fedheha ya kuombaomba kusaidiwa mara kwa mara,

masuala ya kufa ni mipango ya Mungu. Mwili wako na wangu vitaliwa mchangani, hakuna haja kuringa sana
 
Mtu amelipwa mamilioni kayasunda halafu akitaka gari ya kifahari anawaomba nyie makapuku mumchangie! Wale viherehere nao wanachanga!
 
Mabwanyenye ya magharibi hayalali usingizi yanahakikisha yakutengenezea ARV za kutosha uendelee kuzichanga buku 7 hapo kwenye viunga vya lumumba
 
Ingekuwa akili inaweza kuchangiwa, ningekushauri uombe uchangiwe akili.

Mwalimu wakati anaenda UN kutafuta uhuru wa Tanganyika, gharama za safari yake zilichangiwa na wote waliokuwa na uwezo na dhamira njema. Hata wakati anazunguka nchi nzima kuwaelimisha watu, maisha yake yote yalifadhiliwa na watanzania wenye dhamira njema na nchi yao ya Tanganyika.

Ungeonekana ni mwendawazimu wa kiwango cha juu sana kama eti ungeanza kusema kuwa Mwalimu hakustahili kuchangiwa. Alikuwa na kazi ya mshahara, akaacha kazi ili awakomboe Watanzania, hana mshahara, unataka ale nini, aishi wapi, asafiri na nini, wakati ameamua kuacha yote kwaajili ya Watanganyika? Utakuwa ni kichaa kama unafikiri hakustahili kuchangiwa.

The same applies to Tundu Lisu. Ameacha yote, ameacha kazi za mshahara, ameamua kuwapambania Watanzania na nchi yake, anafanya hiyo kazi bila ya kuwa na mshahara. Halafu mwehu mmpja anasema eti hastahili kuchangiwa. Unamlisha wewe, anaishi kwako, anasafiri kwa gari lako?

Lakini pia kama wewe ni kapuku kabisa, hujalazimishwa kuchangia. Au kama wewe ni mtu mnafiki ambaye huoni umuhimu wa kazi anayofanya Lisu, kaa na pesa yako. Hakuna atakayekufuata nyumbani kwako kuwa eti unatakiwa kuchangia ununuzi wa gari ya kutumia Lisu. Hujachangia chochote, hujalazimishwa, lakini kwa ushetani wako, unaumia kuona wapo watu wanaochangia! Si bure, ni mgonjwa wewe.

Watu wote wanaofanya kazi kubwa za kujitolea kwaajili ya watu wengine, wanaopokea hiyo huduma, wenye uwezo, akili, na dhamira njema, huwa wanachanga ili kumwezesha huyo aliyejitolea kwaajili yao, aweze kumudu majukumu yake. Ndiyo maana huwa tunachanga kununua magari ya mapadre, maaskofu, hata mashekhe. Ikilazimu huwa tunachanga hata kuwanunulia mavazi ya ukihani. Tunachanga kwaajili ya chakula chao. Na hiyo siyo hisani, bali ni wajibu wetu kama wanufaika wa huduma yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…