Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Uwe huna pesa, au uwe na kichaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mental disorderNiliyokupa ulivyokuja Ghettoni siyo Mimba?
ulisharogwa zamani ndio maana mada zako hapa JF unaonekana mweuJamani nipeni tu hizi Mbinu haraka ili Nijihami mapema, kwani naziona kabisa dalili za Mimi Kutengenezwa / Kurogwa.
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU
Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.
Nimemaliza.
Hata Mimi nimeona hilo Mkuu. Nisaidie nawezaje Kupona na Ndumba ( Fusho ) hili nililopigwa nae huyu Mrembo Mtamu?Umesharogwa tayari
Uliyebeba Mimba yake.Mental disorder
Si ndio hapo🤣🤣Charismatic Fella anaogopaje Uchawi yaani??
Kwahiyo unakiri kuwa umebeba Mimba ya Mwehu Mimi?ulisharogwa zamani ndio maana mada zako hapa JF unaonekana mweu
Kwenu wanawake mpo wangap?Uliyebeba Mimba yake.
Wanaokubandua Kwenu wako wangapi?Kwenu wanawake mpo wangap?
mfumo wako wa ufahamu hupo kwenye njia ya kwenda chooni kupunguza akili yakoKwahiyo unakiri kuwa umebeba Mimba ya Mwehu Mimi?
Changamoto iliyopo akili ulizo nazo sasa hivi siyo zako mzizi unafanya kazi. Inabidi kwanza uumshirikishe Mungu, ndumba zikitoka itakuwa rahisi kumpiga chini huyo mshirikinaHata Mimi nimeona hilo Mkuu. Nisaidie nawezaje Kupona na Ndumba ( Fusho ) hili nililopigwa nae huyu Mrembo Mtamu?
Tulia mnajua kutufokea tu🤣🤣Duh unapata wapi ujasiri wa kuishi na mchawi lakini? Mbona sielewi mm
Kama yako vile vile.mfumo wako wa ufahamu hupo kwenye njia ya kwenda chooni kupunguza akili yako
tukusamehe ujui ulitendalo wewe popoma wa mwanza ukereweKama yako vile vile.
Mbinu ni kumuacha tu...Jamani nipeni tu hizi Mbinu haraka ili Nijihami mapema, kwani naziona kabisa dalili za Mimi Kutengenezwa / Kurogwa.
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU
Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.
Nimemaliza.
vuta bangiJamani nipeni tu hizi Mbinu haraka ili Nijihami mapema, kwani naziona kabisa dalili za Mimi Kutengenezwa / Kurogwa.