Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Mwanamke mwenye uhakika wa kudumu nae mpaka mwisho wa uhai wako ni "MAMA YAKO MZAZI TU"Jamani wanawake wa saizi imekua pasua kichwa ! yaan suala la kufunga vilago ni dakika sifuri
Uvumilivu -0
Utulivu-0
Tamaa -100%
Nipen mbinu madhubuti ya kudumu na mwanamke?
mwanamke uliye na familia nae huwezi kusepa kirahisi ivoWE HONDOMORA AFU USEBEEEE MWANAWUKE WA GWELI ADAGUJA MWENYIWEE
imekaa poaIshi na mwanamke ambaye anakupa pesa yake(ukikwama kifedha hagomi kukusaidia)
Kwa jinsi uhusiano wa ke na pesa ulivyo, ukimpata huyo utakuwa umepata chuma cha mjerumani
Nawaza tu.....
sasa huu ushauri au ni taarifaMwanamke mwenye uhakika wa kudumu nae mpaka mwisho wa uhai wako ni "MAMA YAKO MZAZI TU"
Wanasepa mbona ndio hao wenye vyama vyao vingi vya Independent womenmwanamke uliye na familia nae huwezi kusepa kirahisi ivo
Mpe hela kila sikuJamani wanawake wa saizi imekua pasua kichwa ! yaan suala la kufunga vilago ni dakika sifuri
Uvumilivu -0
Utulivu-0
Tamaa -100%
Nipen mbinu madhubuti ya kudumu na mwanamke?
sh ngapMpe hela kila siku
huyo kuku niki nikishachinja niachr nje au nimlePasua mayai matatu nje ya geti lako na mlangoni
Chinja kuku usimnyonyoe Acha ile harufu
Angalia nae sana movie za jeti li
🤔Kakate mgomba uvalishe gauni,kisha weka ndani,hao mademu achana nao mkuu watakuua.
Mwache nje mzeehuyo kuku niki nikishachinja niachr nje au nimle
movie za jat lee tunachek nae sana maana ana penda movie za vita kama nn
usomma sanaTake their weakness as your strengths
Umeishajua wap tatizo lilipo na uwezi litatua njia ni kuwa jinga ama wao ndio uwafanye wajinga.
Jitathimini pia na ww mwenyew na watu unaoingia nao kwenye mahusiano