Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Mapenzi siku zote tunasema ni two ways directions not one way directions na ukiona upo katika penzi la one way directions ujue kuna tatizo
Kiasi cha kwamba wewe ndo unajitahidi kumuonesha mwenzio jinsi unavyompenda kuliko yeye anavyoesha. Wewe ndo unajionesha umependa sana kuliko mwenzio kukuneshea kukupenda. Wewe ndio kila saa na dakika unaonekana ndio chanzo cha mawasiliano,kuchat n.k
Sasa leo hebu tuambizane ukweli ni mbinu gani za kubalance shobo ktk mahusiano