Ni mbinu gani unatumia kubalance shobo kwa mpenzi wako?

Ni mbinu gani unatumia kubalance shobo kwa mpenzi wako?

Principle ya kuishi vyema na mpenzi haswa katika njia ya mawasiliano

1, piga simu asipopokea usipige tena mpaka yeye akutafute na akikutafute usimuulize why hujapikea simu yeye ñdio atatoa maaelezo .,kama asipo toa maelezo wewe cool mpe Hi then kama kuna mawili matatu fresh

2,Tuma SMS mbili au moja kama ni morning asipo jibu on time usiendelee kutuma huu ni usumbufu kama ni asubuhi mjulie Hali ameamkaje,kama ni mchana mejulie za mchana kashindaje then mtakie mchana mwema Kwa jioni unaweza mpigia simu na kuongea nae mawili matatu kuhusu yeye then kama nyie ni wapemz wa wale wa kuongea mda mrefu mtanendelea

3,Usiwe mtu wa kupiga simu kila saaa pasipo Sababu ya msingi, hapa wapo wale sijui nimekumiss mara sijui nn nimemiss kusikia sauti yako bla bla bla kibào hapo utachokwa na kuonekana haupo seriously kbsà


4 Be serious to increase you're value ,kama Kuna mengine mtamalizia
Naichukua kama ilivyo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna huu msemo wa kwamba " Unayempenda hakupendi na anayekupenda humpendi"

Sasa ukiuelewa huo msemo utagundua kwamba Hakuna kitu Kama kubalance shobo kwenye mahusiano,lazima mtu mmoja( anayependa) ajitoe kwa mwenzio ili angalau apate attention ya mwenzake.

Kumpenda mtu asiyekupenda Ni shughuli pevu Sana nyie.
 
Mimi nilimpenda demu nikawa na mtafuta mara kwa mara na kumjali mno..kilicho nikuta nikibakia kidogo mapigo ya moyo ya simame... Ila nimejifunza sana kadiri unavyo mpenda mwanamke na kumtafuta mara kwa mara anakuona wewe ni boya na anazidi kua mbali na wewe... ...
 
Kuna demu nambembeleza toka wiki 2 zilizopita yeye anataka nimtafute mchana tu na kama kuonana tuonane mchana tu isizidi 12 jioni ,hii imekaaje wadau?
Huyo ni mke wa mtu mkuu .. uwe unatembea na dumu la maziwa mzee
 
Me sijui hata nili-balance vipi shobooo..... Ila ikawa imeishaaaa hiyoooooo....

Bora ujue mtu yupoooo Ukanda wa Gazaa hukooo anapigana vitaaa... Ila siyo mpoo wote sehemu moja alafu unajuaa kabisaa ana access ya simu na bundle kabisa alafu anaringa kama Twiga....

Na sijafuta nambaaa yake yeye anabaki kuview status tu... Mara ya mwisho nikamwambia nilichotakaaa kwako nishakipata kwaiyooo sikutakiii......
Dudu sio
 
Kwa mm mara nyingi hua namtafuta pale napo jiskia na yeye pia hvyo hvyo akikausha basi nakausha coz sio kila mda unajishusha kua ww tu ndo kila siku umtafute mwache yeye pia ajiongeze ukiona siku inapita bila kutafutwa ujue ww hauna umuhimu kwake so na ww jiongeze kua kama yeye akikutafuta poa asipo kutafuta kausha tafuta hela jua umuhimu wako ukiwa kila siku ww ndo wa kumtafuta anakuchoka
Coment imeenda next level hii.

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtu ambaye yuko busy dunia hii. Narudia hayupo. Ukiona hutafutwi pasi na wewe kumtafuta basi jua imeisha hiyoooob(in kidagaa voice).
Ukweli mchungu hakuna mtu anaekosa time kwa mtu ampendaye. Ukiona hutafutwi komaa

Nb. HAKUNA ALIYE BUSY HII DUNIA. JUST INATEGEMEA NA HUYO MTU VIPAUMBELE VYAKE VIPOJE.

hata hii comment nimeishuka nikiwa toilet [emoji372] napuu ndio tuseme nishindwe kumtext mchumba hapana. Never!!
 
Nikiona najipendekeza huwa nafuta namba kwanza , huku nikiamini kama tupo pamoja atanichek ,akinichek Wala Simind tunaanza upya akizingua nafuta tena naendelea na ishu zingine
Tit 4 tat
 
Haiingii akilini text ya ku type! Hey mambo! Haichukui hata dakika 10 kifupi mimi kama mimi sipendi kuonekana penda/penda dem aki mute na mute..

Sometime nikiamkaga hovyo naweza futa namba ya mtu maana mwezi 1 unaisha hatuchekiani nahesabia hamna changu!.
Kuna kale katabia kakuskiliziana nani amcheki mwenzie sikapendi pia unamcheki mtu reply ni after 2/10minutes nami nakupimia. reply yako ikiwa after 5minutes nami ntakujibu after 10minutes goddamit! alafu una muanza mtu kwa text conversation zinakuwa inshort mfamo:

Mimi:Hey mambo!
Yeye😛oa
Mimi:mzima
Yeye:mzima
Yani unanikata stimu hata yakuendelea kuchat nawe in means nashoboka kwako nikishajua Dem Ana hako katabia[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ili mapenzi yadumu LAZIMA MMOJA AWE ANASHOBO KULIKO MWINGINE SASA HAPO MTACHAGUA NANI AWE NA SHOBO..WOTE MKIVIMBA THEN HAKUNA MAPENZI HAPO
 
IMG_5233.jpg
 
Nafutaga namba nakariri namba ya mwisho akinitafuta sawa asiponitafuta sawa.
 
Back
Top Bottom