Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mburaa...Me sijui hata nili-balance vipi shobooo..... Ila ikawa imeishaaaa hiyoooooo....
Bora ujue mtu yupoooo Ukanda wa Gazaa hukooo anapigana vitaaa... Ila siyo mpoo wote sehemu moja alafu unajuaa kabisaa ana access ya simu na bundle kabisa alafu anaringa kama Twiga....
Na sijafuta nambaaa yake yeye anabaki kuview status tu... Mara ya mwisho nikamwambia nilichotakaaa kwako nishakipata kwaiyooo sikutakiii......
Vita ni vitaaa MuraaaaaaMburaa...
Shobo ni nini hasa??Mapenzi siku zote tunasema ni two ways directions not one way directions na ukiona upo katika penzi la one way directions ujue kuna tatizo
Kiasi cha kwamba wewe ndo unajitahidi kumuonesha mwenzio jinsi unavyompenda kuliko yeye anavyoesha
Wewe ndo unajionesha umependa sana kuliko mwenzio kukuneshea kukupenda
Wewe ndio kila saa na dakika unaonekana ndio chanzo cha mawasiliano,kuchat n.k
Sasa leo hebu tuambizane ukweli ni mbinu gani za kubalance shobo ktk mahusiano
🤣Hata akiwa ukanda wa gaza atumie basi satellite phone anipigie wakati wanapambana nisikie milio ya risasi na mabomu hapo nitamuelewaMe sijui hata nili-balance vipi shobooo..... Ila ikawa imeishaaaa hiyoooooo....
Bora ujue mtu yupoooo Ukanda wa Gazaa hukooo anapigana vitaaa... Ila siyo mpoo wote sehemu moja alafu unajuaa kabisaa ana access ya simu na bundle kabisa alafu anaringa kama Twiga....
Na sijafuta nambaaa yake yeye anabaki kuview status tu... Mara ya mwisho nikamwambia nilichotakaaa kwako nishakipata kwaiyooo sikutakiii......
Binafsi nimekuelewa.Principle ya kuishi vyema na mpenzi haswa katika njia ya mawasiliano
1, piga simu asipopokea usipige tena mpaka yeye akutafute na akikutafute usimuulize why hujapikea simu yeye ñdio atatoa maaelezo .,kama asipo toa maelezo wewe cool mpe Hi then kama kuna mawili matatu fresh
2,Tuma SMS mbili au moja kama ni morning asipo jibu on time usiendelee kutuma huu ni usumbufu kama ni asubuhi mjulie Hali ameamkaje,kama ni mchana mejulie za mchana kashindaje then mtakie mchana mwema Kwa jioni unaweza mpigia simu na kuongea nae mawili matatu kuhusu yeye then kama nyie ni wapemz wa wale wa kuongea mda mrefu mtanendelea
3,Usiwe mtu wa kupiga simu kila saaa pasipo Sababu ya msingi, hapa wapo wale sijui nimekumiss mara sijui nn nimemiss kusikia sauti yako bla bla bla kibào hapo utachokwa na kuonekana haupo seriously kbsà
4 Be serious to increase you're value ,kama Kuna mengine mtamalizia
Weeee chekaa tu... Omba Mungu yasikukutee ndg......🤣Hata akiwa ukanda wa gaza atumie basi satellite phone anipigie wakati wanapambana nisikie milio ya risasi na mabomu hapo nitamuelewa
nimecheka sana hiyo ya ukanda wa gaza
Kama wewe ni mwanamke hapo sawa na inamake sense ila sio kwa sie wanaumeNampenda, sasa kwanini nimpimie! Nampa mapenzi yote sibakishi.
Unataka kusemaje?Kama wewe ni mwanamke hapo sawa na inamake sense ila sio kwa sie wanaume
Hii ya kumtumia msg asubuhi,mchana ndo siweziPrinciple ya kuishi vyema na mpenzi haswa katika njia ya mawasiliano
1, piga simu asipopokea usipige tena mpaka yeye akutafute na akikutafute usimuulize why hujapikea simu yeye ñdio atatoa maaelezo .,kama asipo toa maelezo wewe cool mpe Hi then kama kuna mawili matatu fresh
2,Tuma SMS mbili au moja kama ni morning asipo jibu on time usiendelee kutuma huu ni usumbufu kama ni asubuhi mjulie Hali ameamkaje,kama ni mchana mejulie za mchana kashindaje then mtakie mchana mwema Kwa jioni unaweza mpigia simu na kuongea nae mawili matatu kuhusu yeye then kama nyie ni wapemz wa wale wa kuongea mda mrefu mtanendelea
3,Usiwe mtu wa kupiga simu kila saaa pasipo Sababu ya msingi, hapa wapo wale sijui nimekumiss mara sijui nn nimemiss kusikia sauti yako bla bla bla kibào hapo utachokwa na kuonekana haupo seriously kbsà
4 Be serious to increase you're value ,kama Kuna mengine mtamalizia
[emoji4][emoji16][emoji16] unajaribu kutaka kusema kitu gani mkuuAisee mimi nilishasahau kama kuna kitu kinaitwa mapenzi maana nilikua ninaelekea kubaya.
Yeah na hiki mimi ndio kimesababisha hata kumtumia ujumbe siwezi labda aanze yeyeKupenda kupitiliza hakujawahi kumuacha mtu salama, mpe muda mwenzi wako. Tuma sms ya kumtakia asubuh njema, mchana mwema na usiku mwema inatosha. Kama anajar basi katika reply za sms hizo ataonesha muendelezo wa ww kuchat nae. Na kama hakuna muendelezo basi kausha na ujue haitaji kujari kwako. Ila pamoja na yote hakikisha kila unapomuhitaji faragha unampata kwa wakati. Kama faragha naye pia shida basi kunywa Panadol Kisha chukulia unalazimisha mapenzi.
kabisa mkuu we kausha tu, huku unaugulia moyoni.Yeah na hiki mimi ndio kimesababisha hata kumtumia ujumbe siwezi labda aanze yeye
Maaana akishajua unamtegemea sana hata penzi utalisikia kwenye bomba
Hiyo imepitishwa hamna mjadala,maana nshaexperience hicho kitukabisa mkuu we kausha tu, huku unaugulia moyoni.