Ni mbinu gani unatumia kubalance shobo kwa mpenzi wako?

Sema haki ya Mungu...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
atalala yoooo ,sio vibaya kumuonesha mtu kama unampenda sana endapo reaction yake nae ipo kama wewe ila kiukweli ni mbaya zaidi pale unapoonesha reaction ya kumpenda mtu lakini unapata negative reaction mfano unampigia yoooooo[emoji24][emoji24]lakini hapokei halafu baadae anakupa very stupid apologise[emoji24][emoji24][emoji24]ooohhh nilikuwa busy itmeans the whole day ulikuwa busy
 
Poleni sana...

Kazeni mioyo...
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]watu wanamioyo migumu kama vile imetengenezwa kwa plastic[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ifikie mahali ujione huruma
Hayanaga muongozo...
 
Kuna demu nambembeleza toka wiki 2 zilizopita yeye anataka nimtafute mchana tu na kama kuonana tuonane mchana tu isizidi 12 jioni ,hii imekaaje wadau?
 
mke wa mtu huyo. Ukiwa unakutana nae usisahau kubeba na JERRY MURO.
 
Back
Top Bottom