Ni mbinu gani unatumia kubalance shobo kwa mpenzi wako?

Naichukua kama ilivyo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna huu msemo wa kwamba " Unayempenda hakupendi na anayekupenda humpendi"

Sasa ukiuelewa huo msemo utagundua kwamba Hakuna kitu Kama kubalance shobo kwenye mahusiano,lazima mtu mmoja( anayependa) ajitoe kwa mwenzio ili angalau apate attention ya mwenzake.

Kumpenda mtu asiyekupenda Ni shughuli pevu Sana nyie.
 
Mimi nilimpenda demu nikawa na mtafuta mara kwa mara na kumjali mno..kilicho nikuta nikibakia kidogo mapigo ya moyo ya simame... Ila nimejifunza sana kadiri unavyo mpenda mwanamke na kumtafuta mara kwa mara anakuona wewe ni boya na anazidi kua mbali na wewe... ...
 
Kuna demu nambembeleza toka wiki 2 zilizopita yeye anataka nimtafute mchana tu na kama kuonana tuonane mchana tu isizidi 12 jioni ,hii imekaaje wadau?
Huyo ni mke wa mtu mkuu .. uwe unatembea na dumu la maziwa mzee
 
Dudu sio
 
Coment imeenda next level hii.

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtu ambaye yuko busy dunia hii. Narudia hayupo. Ukiona hutafutwi pasi na wewe kumtafuta basi jua imeisha hiyoooob(in kidagaa voice).
Ukweli mchungu hakuna mtu anaekosa time kwa mtu ampendaye. Ukiona hutafutwi komaa

Nb. HAKUNA ALIYE BUSY HII DUNIA. JUST INATEGEMEA NA HUYO MTU VIPAUMBELE VYAKE VIPOJE.

hata hii comment nimeishuka nikiwa toilet [emoji372] napuu ndio tuseme nishindwe kumtext mchumba hapana. Never!!
 
Nikiona najipendekeza huwa nafuta namba kwanza , huku nikiamini kama tupo pamoja atanichek ,akinichek Wala Simind tunaanza upya akizingua nafuta tena naendelea na ishu zingine
Tit 4 tat
 
Haiingii akilini text ya ku type! Hey mambo! Haichukui hata dakika 10 kifupi mimi kama mimi sipendi kuonekana penda/penda dem aki mute na mute..

Sometime nikiamkaga hovyo naweza futa namba ya mtu maana mwezi 1 unaisha hatuchekiani nahesabia hamna changu!.
Kuna kale katabia kakuskiliziana nani amcheki mwenzie sikapendi pia unamcheki mtu reply ni after 2/10minutes nami nakupimia. reply yako ikiwa after 5minutes nami ntakujibu after 10minutes goddamit! alafu una muanza mtu kwa text conversation zinakuwa inshort mfamo:

Mimi:Hey mambo!
Yeye😛oa
Mimi:mzima
Yeye:mzima
Yani unanikata stimu hata yakuendelea kuchat nawe in means nashoboka kwako nikishajua Dem Ana hako katabia[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ili mapenzi yadumu LAZIMA MMOJA AWE ANASHOBO KULIKO MWINGINE SASA HAPO MTACHAGUA NANI AWE NA SHOBO..WOTE MKIVIMBA THEN HAKUNA MAPENZI HAPO
 
Nafutaga namba nakariri namba ya mwisho akinitafuta sawa asiponitafuta sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…