kwa umri alionao watamchukua huko veta?Me nikimpata huyo mbna shwari
Kwanza Nikwambie tu huyo ndo mtoto sasa... chakufanya nenda kawaonge walimu pesa ili wamruhusu awe anasoma siku 3 kwa wiki zile mbili mtafutie fani yeyote unayoona itamsaidia hata km ni uko veta we peleka ili kichwa kuanze kula vitu vikubwa na venye maana .... lasivyo akikosa vtu sahihi vya kujifunza bas hatajifunza hat visivo sahihi..
Mtoto wa umri gani huyu?.watoto wa siku hizi
mwananngu kuna kitu alikua ananiambia
sikumuelewa nikamwambia unasemaaa? yaani kama nauliza aseme vizuri sikumuelewa
akasema "its beyond ur knowledge level..never mind"
akanyamaza
yaan tangu juzi namtafakari
Mtoto wa miaka 5 si ndio yuko KG 2 au Std 1.Yani walimu wameshindwa kushauri kitu cha kufanya zaidi ya kukwambia umuhamishe mtoto?
Walimu wanawajua watoto wetu zaidi ya tunavyowajua sisi. Shirikiana na walimu vizuri utapata ufumbuzi.
Eee Mwaka wa Mbele umemaliza.Mtoto wa miaka 5 si ndio yuko KG 2 au Std 1.
Hajui chochote huyu mtoto.
Ila ni Mtundu .
Ongea na Walimu vizur. Apende shule. Kama akifundishwa anaelewa haraka. Ili asikereke. Bas akielewa aambiwe aelekeze wenzake 😊😊😊.
Itamfanya awe na muda mwing wa kutumia hizo akili zake.
Huyu mtoto kibokowatoto wa siku hizi
mwananngu kuna kitu alikua ananiambia
sikumuelewa nikamwambia unasemaaa? yaani kama nauliza aseme vizuri sikumuelewa
akasema "its beyond ur knowledge level..never mind"
akanyamaza
yaan tangu juzi namtafakari
kama baba siamin uwezo wa elimu zetu sembuse mtoto kushuku elimu na sio naamin maamuz yake mtoto wangu ni mtiifu sana tena sana ila kwenye mambo ya kukalili kipepeo ana miguu mingapi kagomaHuwezi amini maamuzi ya mtoto wa miaka mitano. Msimamie mtoto asome
kwahiyo elimu ya kusomea historia ya tanzania na raisi wa kwanza ndio iko sahihi, umesema elimu ni ufunguo wa maisha? Kwamba wasio na elimu hawaishi, vipi aliebuni hiyo elimu alikuwa amesoma hadi darasa la ngapi? Au ndio mm mzazi ninaetaka aende shule ndie mpumbavuUsipagawe na mtoto wa miaka mitano,Asome kwa lazma kwa sababu ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA.Angalau akifika darasa la saba anza kuwa naye karibu zaidi utapata faida kubwa ya matarajio yake.
Usiruhusu akutawale sana,hawezi kusema “siendi kwa sababu kila siku nafanya kitu hichohicho,hizo ni mbinu za yeye kukuongoza….be carefull.”
kwakuwa baba hela ipo nimeunganisha michango yenu nimeamua nimpeleke next level namtafutia walimu atajifunza anachokitaka mambo ya kwenda kukaririshwa asije akawa jingaHii ni Tanzania sio Ulaya, Dogo inabidi asome Kwa lazima hiyo Elimu Yake ya msingi, akili akuzidi Hadi busara pia akuzidi!, haiwezekani kabisa.
Ingekuwa ni Ulaya huyo dogo angefanya vitu vizuri Tu baadae ila bongo hii hamna hiyo reward, so mfanye alazimike kwenda shule, shule TZ ndio Kila kitu, hakuna mfumo wowote ule rasmi utakaomkubali mwanao kama hakwenda shule....