Ni mchallange vipi huyu mtoto maana akili yake imevuka mipaka ya elimu na hataki shule

Ni mchallange vipi huyu mtoto maana akili yake imevuka mipaka ya elimu na hataki shule

Kuna uwezekano mwanao ana autism spectrum. Mi nashauri kama anaweza kusoma na kuandika, mfanyie home teaching halafu muengage kwenye mafunzo kwa vitendo. Kuna shule moja nimeiona Bagamoyo wanafundisha watoto skills mbali mbali kama za umeme, makenika, upishi, etc, huenda akawa interested huko. Pole mkuu, Mungu atakuvusha.​
mkuu asante sana kwa ushauri na kunielewa nitaifuatilia hiyo shule nimpeleke
 
watoto wa siku hizi
mwananngu kuna kitu alikua ananiambia
sikumuelewa nikamwambia unasemaaa? yaani kama nauliza aseme vizuri sikumuelewa
akasema "its beyond ur knowledge level..never mind"
akanyamaza
yaan tangu juzi namtafakari
Kwa wazazi low iq kama waliopo tz ni lazima mambo ya hivyo yatokee
 
kwahiyo elimu ya kusomea historia ya tanzania na raisi wa kwanza ndio iko sahihi, umesema elimu ni ufunguo wa maisha? Kwamba wasio na elimu hawaishi, vipi aliebuni hiyo elimu alikuwa amesoma hadi darasa la ngapi? Au ndio mm mzazi ninaetaka aende shule ndie mpumbavu
Sizani kama ungeweka ubishi wako ikiwa usingekuwa unaweza kusoma na kuandika.
 
Yani walimu wameshindwa kushauri kitu cha kufanya zaidi ya kukwambia umuhamishe mtoto?
Walimu wanawajua watoto wetu zaidi ya tunavyowajua sisi. Shirikiana na walimu vizuri utapata ufumbuzi.
Aaah walimu siku hizi hatutaki changamoto. Huo ushauri tunaotoa fastaaa.
 
Mwambie Elon Musk au NASA waje wachukue kijana wao kabla hajatekwa na wahuni-huku wenye akili hawatakiwi.

Huyo ni wa kurusha madarasa kama anamasta vitu haraka.
 
Ni mtoto wa miaka mi 5 kutotaka shule na ukimpeleka shule analia, na kusema siwezi kujifunza kitu hicho hicho kila siku

Nilileta uzi hapa Wadau wengi walinishauri na nikachukua ushauri wao nikaufanyia kazi
Nikambadilishia mazingira ya shule, akawa amesoma kama miezi 6, akaanza tabia ile ile kwamba hataki shule nikawa nimekaa na walimu wake kuhusu hili jambo

Wakanishauli nimuhamishe shule mpaka sasa kwenye darasa moja nimemuamisha shule tatu na bado mambo ni yale yale

Nikili kwamba huyu mtoto ana uwezo binafsi, tokea anazaliwa na yuko haraka kukariri vitu
Katika shule zote nilizompeleka, anashika nafasi ya pili au moja na walimu wanamkubali sana ni mtii

Kwa mfano ukiwa unachezea simu akawa jirani, then ukaiacha utakuta tayari ametoa patten, na kuanza kuichezea, kama ina bando atawasha data ataenda play store atapakua gem na kuanza kuzichezea

Na vingine vingi ambavyo hata sijawah kumfundisha, juzi nimepark gar nimemkuta amewasha na hapendi kucheza na watoto wenzake

Wakuu nipeni ushaur nn nifanye?
Huyo Sasa ni mtu mzima ,

Sema mkazanie Tu amalize shule &
Muulize ana mpango wakuwa Nani maishani.

Then muelekezee uko.
 
watoto wa siku hizi
mwananngu kuna kitu alikua ananiambia
sikumuelewa nikamwambia unasemaaa? yaani kama nauliza aseme vizuri sikumuelewa
akasema "its beyond ur knowledge level..never mind"
akanyamaza
yaan tangu juzi namtafakari
Mkuu kwanza kabisa usimuelewe vibaya kijana wako haja kutukana.

Hata kama ni mzazi sio kila kitu utakuwa unakijua so as a parent you must to obey that there some-issues are beyond our knowledge level labda utumie AI ndiyo ujibu.

So usi_panic ni sawa tu.
 
Back
Top Bottom