Mtoto akiwa smart hakatai shule, walimu watakwambia huyu tumpeleke darasa la juu kidogo. Mpeleke darasa la juu.Ni mtoto wa miaka mi 5 kutotaka shule na ukimpeleka shule analia, na kusema siwezi kujifunza kitu hicho hicho kila siku
Nilileta uzi hapa Wadau wengi walinishauri na nikachukua ushauri wao nikaufanyia kazi
Nikambadilishia mazingira ya shule, akawa amesoma kama miezi 6, akaanza tabia ile ile kwamba hataki shule nikawa nimekaa na walimu wake kuhusu hili jambo
Wakanishauli nimuhamishe shule mpaka sasa kwenye darasa moja nimemuamisha shule tatu na bado mambo ni yale yale
Nikili kwamba huyu mtoto ana uwezo binafsi, tokea anazaliwa na yuko haraka kukariri vitu
Katika shule zote nilizompeleka, anashika nafasi ya pili au moja na walimu wanamkubali sana ni mtii
Kwa mfano ukiwa unachezea simu akawa jirani, then ukaiacha utakuta tayari ametoa patten, na kuanza kuichezea, kama ina bando atawasha data ataenda play store atapakua gem na kuanza kuzichezea
Na vingine vingi ambavyo hata sijawah kumfundisha, juzi nimepark gar nimemkuta amewasha na hapendi kucheza na watoto wenzake
Wakuu nipeni ushaur nn nifanye?
walimu wamepiga mpaka, mimi na mkewetu tumepiga mpaka tumeamua saiz tuangalie suluhisho tusije tukaua jf ikasema wazaz wana stress walimu mishahara midogo mana hamkawiagiAkichezea bakora siku mbili tatu yeye mwenyewe atakaa dawati la mbele na kumfuata mwalimu wa kipindi cha pili ofisini baada ya kipindi cha kwanza kuisha
Maana yake kwa kesi yako, usiichezee nafasi uliyonayo kama kiongozi wa familia.kuna bajaji nimeona leo wameandika nyuma
na chapati, nimeleta nyuzi karibu 2 za kuhusu huyu mtoto toka yupo tumboni siku anafanyiwa opeleshen analia akiwa tumbon akiwa na anaanza kutembea tu usiku wa manane nje alitoka mwenyewe kwenda kujisaidia na kurudi ndani na kila steg naleta hapa hyo chai inatoka wapChai
Bado sijakushauri mkuu, nimejaribu kukuonesha tatizo linapoanziaga kwa changamoto unayoipitia. Huruma inabeba maana nyingi katika usemi huu wa huruma sio malezi.asante kiufupi mimi sina malez ya huruma mi nafundisha kwa vitendo sio maneno, asante kwa ushaur mkuu
Fungua kanisa la mabatna chapati, nimeleta nyuzi karibu 2 za kuhusu huyu mtoto toka yupo tumboni siku anafanyiwa opeleshen analia akiwa tumbon akiwa na anaanza kutembea tu usiku wa manane nje alitoka mwenyewe kwenda kujisaidia na kurudi ndani na kila steg naleta hapa hyo chai inatoka wap
Yes mkuu umenena.Watato wenye IQ kubwa mara nyingi Huwa ni watulivu, siowasemaji sana. Huwa na huruma, hupenda kuelekeza wenzake,
Huwa ni mdadisi nk.
Jitahidi kulea mtoto wako, usihisi kama ni usumbufu pia mtoto wa miaka mitano Bado sana. jaribu kuuliza akiwa mkubwa anapenda kuwa nani, uliza hili swali ndani ya wiki kama mbili ivi uone kama atakuwa na jibu linalofanana.
Anashindwa kuvumbua kipaji cha mwanae anabaki kumlazimisha mtoto akasome majimaji war, homosapiens,