mkuu asante sana kwa ushauri na kunielewa nitaifuatilia hiyo shule nimpelekeKuna uwezekano mwanao ana autism spectrum. Mi nashauri kama anaweza kusoma na kuandika, mfanyie home teaching halafu muengage kwenye mafunzo kwa vitendo. Kuna shule moja nimeiona Bagamoyo wanafundisha watoto skills mbali mbali kama za umeme, makenika, upishi, etc, huenda akawa interested huko. Pole mkuu, Mungu atakuvusha.
Kwani mama mtoto anasemaje? mtt wa kiume nini? mana hao umri huo ndio pasua kichwakama baba siamin uwezo wa elimu zetu sembuse mtoto kushuku elimu na sio naamin maamuz yake mtoto wangu ni mtiifu sana tena sana ila kwenye mambo ya kukalili kipepeo ana miguu mingapi kagoma
Kwa wazazi low iq kama waliopo tz ni lazima mambo ya hivyo yatokeewatoto wa siku hizi
mwananngu kuna kitu alikua ananiambia
sikumuelewa nikamwambia unasemaaa? yaani kama nauliza aseme vizuri sikumuelewa
akasema "its beyond ur knowledge level..never mind"
akanyamaza
yaan tangu juzi namtafakari
Sizani kama ungeweka ubishi wako ikiwa usingekuwa unaweza kusoma na kuandika.kwahiyo elimu ya kusomea historia ya tanzania na raisi wa kwanza ndio iko sahihi, umesema elimu ni ufunguo wa maisha? Kwamba wasio na elimu hawaishi, vipi aliebuni hiyo elimu alikuwa amesoma hadi darasa la ngapi? Au ndio mm mzazi ninaetaka aende shule ndie mpumbavu
Aaah walimu siku hizi hatutaki changamoto. Huo ushauri tunaotoa fastaaa.Yani walimu wameshindwa kushauri kitu cha kufanya zaidi ya kukwambia umuhamishe mtoto?
Walimu wanawajua watoto wetu zaidi ya tunavyowajua sisi. Shirikiana na walimu vizuri utapata ufumbuzi.
DUUUUUwatoto wa siku hizi
mwananngu kuna kitu alikua ananiambia
sikumuelewa nikamwambia unasemaaa? yaani kama nauliza aseme vizuri sikumuelewa
akasema "its beyond ur knowledge level..never mind"
akanyamaza
yaan tangu juzi namtafakari
sio kweliKwa wazazi low iq kama waliopo tz ni lazima mambo ya hivyo yatokee
kupiga watoto sio suluhiaho la kila jamboAkichezea bakora siku mbili tatu yeye mwenyewe atakaa dawati la mbele na kumfuata mwalimu wa kipindi cha pili ofisini baada ya kipindi cha kwanza kuisha
Nimechekaa, πππAkichezea bakora siku mbili tatu yeye mwenyewe atakaa dawati la mbele na kumfuata mwalimu wa kipindi cha pili ofisini baada ya kipindi cha kwanza kuisha
Sasa miaka 5, utamuweka darasa lipi? DuuhMwambie Elon Musk au NASA waje wachukue kijana wao kabla hajatekwa na wahuni-huku wenye akili hawatakiwi.
Huyo ni wa kurusha madarasa kama anamasta vitu haraka.
Huyo Sasa ni mtu mzima ,Ni mtoto wa miaka mi 5 kutotaka shule na ukimpeleka shule analia, na kusema siwezi kujifunza kitu hicho hicho kila siku
Nilileta uzi hapa Wadau wengi walinishauri na nikachukua ushauri wao nikaufanyia kazi
Nikambadilishia mazingira ya shule, akawa amesoma kama miezi 6, akaanza tabia ile ile kwamba hataki shule nikawa nimekaa na walimu wake kuhusu hili jambo
Wakanishauli nimuhamishe shule mpaka sasa kwenye darasa moja nimemuamisha shule tatu na bado mambo ni yale yale
Nikili kwamba huyu mtoto ana uwezo binafsi, tokea anazaliwa na yuko haraka kukariri vitu
Katika shule zote nilizompeleka, anashika nafasi ya pili au moja na walimu wanamkubali sana ni mtii
Kwa mfano ukiwa unachezea simu akawa jirani, then ukaiacha utakuta tayari ametoa patten, na kuanza kuichezea, kama ina bando atawasha data ataenda play store atapakua gem na kuanza kuzichezea
Na vingine vingi ambavyo hata sijawah kumfundisha, juzi nimepark gar nimemkuta amewasha na hapendi kucheza na watoto wenzake
Wakuu nipeni ushaur nn nifanye?
Mkuu kwanza kabisa usimuelewe vibaya kijana wako haja kutukana.watoto wa siku hizi
mwananngu kuna kitu alikua ananiambia
sikumuelewa nikamwambia unasemaaa? yaani kama nauliza aseme vizuri sikumuelewa
akasema "its beyond ur knowledge level..never mind"
akanyamaza
yaan tangu juzi namtafakari