Saidi Kilumanga na wengine wa Magic Fm
Clouds pia wanafanya vizuri japo Shaffih anakuwa kama ana maringo flani hivi na huwa hataki apingwe mtazamo wake hata kama unakuwa dhaifu.
Mtu anayejua hapa bongo ni Leaky Abdalah na Eddo Kumwembe,hao wengine wababaishaji tuu,kuna siku Maulid Kitenge aliniacha hoi,akidai eti mshindi wa Kombe la Dunia hapati zawadi ya pesa.
Sports headquarter EFM wanajitahidi sana kwa contents analysis ya michezo ni full pakage na wanacover sehemu kubwa sana ya michezo ktk maeneo mbalimbali
Wengi wetu ambao ni Old Schools tutamtaja Dr Leakey Abdallah, ambapo then unakuja kumwona Edo Kumwembe anajaribu kuiga vitu vingi kutoka kwa mzee huyu. These guys go extra mile to give you some of the info that you don't easily find on the internet.
Hawa wengine unakuta ni copy paste kutoka kwenye mitandao ya majuu, they exactly tell what we also have read.