Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una bifu na wangoni sio bureAmbagile bomba sana Lea Wa hovyo yule mngoni Wa songea hajui lolote
Dr. Leakey nilikuwaga namkubali wakati nikiwa dogo, nilikuwaga napenda stori, soka la uwanjani upande wa mbinu sikuwa najua ila baada ya kukiwa nomekuka tambua sasa hivi niko vizuri zaidi yake. Ipande wa simulizi za matukio ya michezo hasa soka hapo kaniacha mbali sana.Soka la bongo
Ally Mayay Tembele
Jofrey Leah
Eddo Kumwembe
James Samweli
Gift Macha
ULAYA
Dr Leacky
Maestro
Eddo Kumwembe
Jeff leah, anachambua football, basketball, tennis, swimmimg, rally, F1 etc.Mmeambiwa mtaje mchambuzi gani bora wa michezo; nyie mmekazana kutaja wachambuzi wa Mpira wa miguu tu! Michezo mingine mnamwachia nani? Wengi wa hao mliowataja hawajui hata a, be, che za netiboli, ndondi au kuogelea. Elewa swali kabla ya kukimbilia kujibu
Kumbe tatizo lako ni mngoni! Leah ni full package, anakava vizuri michezo karibu yote ana knowledge nayo.Ambagile bomba sana Lea Wa hovyo yule mngoni Wa songea hajui lolote
Nakuunga mkono mtaalamu Dr Leaky Abdallah hawa kina Shafii wababaishaji hata sisi wengine muda hatuna tungeweza kuwatoa nishai.Kwa hata huko Ulaya wamepelekwa juzijuzi name Kusaga.Habari nyingi tunaziona kwenye mitandao zipo.Leaky Abdallah ndio namkubali
Wamempiga fitina Sana amekaa pembeni
Ao kinashafii awajui chochote Mimi binafsi nikisimama nae namuacha mbali
Hili lingese kabisa hiliCyprian Musiba.
Anaitwa Jeffrey Lea aka Cassidy,bichwa kipara la green acres.Anajitahidi sana.Jeff Leo ,, ali mayai
Mmeambiwa mtaje mchambuzi gani bora wa michezo; nyie mmekazana kutaja wachambuzi wa Mpira wa miguu tu! Michezo mingine mnamwachia nani? Wengi wa hao mliowataja hawajui hata a, be, che za netiboli, ndondi au kuogelea. Elewa swali kabla ya kukimbilia kujibu
ndo maana ukitaka uenjoy msikilize mwl kashasha ,yeye kwenye suala la uwanjani hatari sanaEra zinatofautiana,
Wengi wetu ambao ni Old Schools tutamtaja Dr Leakey Abdallah, ambapo then unakuja kumwona Edo Kumwembe anajaribu kuiga vitu vingi kutoka kwa mzee huyu. These guys go extra mile to give you some of the info that you don't easily find on the internet.
Hawa wengine unakuta ni copy paste kutoka kwenye mitandao ya majuu, they exactly tell what we also have read.
kwa kipindi cha michezo wanaongoza aisehh, osca anajitahidi ila shida huwa anamini yeye anajua sana kuliko wengine kumbe hakunaSports headquarter EFM wanajitahidi sana kwa contents analysis ya michezo ni full pakage na wanacover sehemu kubwa sana ya michezo ktk maeneo mbalimbali