Ni mchambuzi gani bora wa michezo Tanzania?

Ni mchambuzi gani bora wa michezo Tanzania?

Mmeambiwa mtaje mchambuzi gani bora wa michezo; nyie mmekazana kutaja wachambuzi wa Mpira wa miguu tu! Michezo mingine mnamwachia nani? Wengi wa hao mliowataja hawajui hata a, be, che za netiboli, ndondi au kuogelea. Elewa swali kabla ya kukimbilia kujibu
 
Soka la bongo

Ally Mayay Tembele

Jofrey Leah

Eddo Kumwembe

James Samweli

Gift Macha

ULAYA

Dr Leacky

Maestro

Eddo Kumwembe
Dr. Leakey nilikuwaga namkubali wakati nikiwa dogo, nilikuwaga napenda stori, soka la uwanjani upande wa mbinu sikuwa najua ila baada ya kukiwa nomekuka tambua sasa hivi niko vizuri zaidi yake. Ipande wa simulizi za matukio ya michezo hasa soka hapo kaniacha mbali sana.
 
Mmeambiwa mtaje mchambuzi gani bora wa michezo; nyie mmekazana kutaja wachambuzi wa Mpira wa miguu tu! Michezo mingine mnamwachia nani? Wengi wa hao mliowataja hawajui hata a, be, che za netiboli, ndondi au kuogelea. Elewa swali kabla ya kukimbilia kujibu
Jeff leah, anachambua football, basketball, tennis, swimmimg, rally, F1 etc.
Jamaa ni full package.
 
Leaky Abdallah ndio namkubali
Wamempiga fitina Sana amekaa pembeni
Ao kinashafii awajui chochote Mimi binafsi nikisimama nae namuacha mbali
Nakuunga mkono mtaalamu Dr Leaky Abdallah hawa kina Shafii wababaishaji hata sisi wengine muda hatuna tungeweza kuwatoa nishai.Kwa hata huko Ulaya wamepelekwa juzijuzi name Kusaga.Habari nyingi tunaziona kwenye mitandao zipo.
 
Jeff Lea ndio kiboko yao kwa kweli. kwa ufupi azam media ina wachambuzi wa michezo wazuri
 
Mmeambiwa mtaje mchambuzi gani bora wa michezo; nyie mmekazana kutaja wachambuzi wa Mpira wa miguu tu! Michezo mingine mnamwachia nani? Wengi wa hao mliowataja hawajui hata a, be, che za netiboli, ndondi au kuogelea. Elewa swali kabla ya kukimbilia kujibu

Mkuu kuna watu ukiwaambia michezo akili yao straight inaenda kwenye boli, hiyo mingine ni entertainment.
 
Kuna mchambuzi yupo Sports Xtra ya Clouds Fm anaitwa Issa Maeda hamna kitu anajua zaidi ya kukopi na kupesti habari za bbcfootball.co.uk sijui ruge ni shemeji yake? jamaa amebebwa sana
 
Era zinatofautiana,

Wengi wetu ambao ni Old Schools tutamtaja Dr Leakey Abdallah, ambapo then unakuja kumwona Edo Kumwembe anajaribu kuiga vitu vingi kutoka kwa mzee huyu. These guys go extra mile to give you some of the info that you don't easily find on the internet.

Hawa wengine unakuta ni copy paste kutoka kwenye mitandao ya majuu, they exactly tell what we also have read.
ndo maana ukitaka uenjoy msikilize mwl kashasha ,yeye kwenye suala la uwanjani hatari sana
 
Sports headquarter EFM wanajitahidi sana kwa contents analysis ya michezo ni full pakage na wanacover sehemu kubwa sana ya michezo ktk maeneo mbalimbali
kwa kipindi cha michezo wanaongoza aisehh, osca anajitahidi ila shida huwa anamini yeye anajua sana kuliko wengine kumbe hakuna
 
Back
Top Bottom