Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha... dah!Wewe jamaa hatari sana,panapostahili herufi "R" unaweka 'L" na panatakiwa "L" unaweka "R"
shida ya
dr leaky anakuwa anajikita sana katika kuelezea historia za virabu na wachezaji lakini pale katikati kwenye pitch technically si sanaa.
Huyo ndiye mchambuzi bora basi kwa vigezo vya swaliJeff leah, anachambua football, basketball, tennis, swimmimg, rally, F1 etc.
Jamaa ni full package.
Yap namwelewa sana!Mwalimu kashasha
George fundi sana...Nafikiri George ambangile wa magic FM / chanel ten hana mpinzani kwa sasa
Mimi namuelewaga sana Dr. Leaky sipendi mpira ila namuelewa sana yule babaDr leaky' ally mayai na Edo kumwembe kidogo namuelewa Andy masale
Huyo ndiye mchambuzi bora basi kwa vigezo vya swali
Dr.Leakey Abdallah huyu ndio fundi pekee tanzania imewahi kupata.He gives u full package