Ni mchambuzi gani bora wa michezo Tanzania?

Ni mchambuzi gani bora wa michezo Tanzania?

Mimi namuelewaga sana Dr. Leaky sipendi mpira ila namuelewa sana yule baba
Mshabik wa liverpool na ac milan historia tu alichanganyikiwa siku liverpool katandikwa na burnley pale tv 1 kiufundi hayupo vizur ila historia na tamadun za maisha na timu za ulaya yupo vizur technically hamna kitu
 
Ni kweli mkuu huwezi kupata mtu ambaye yupo complete kila kitu, ndo maana huwa tunasikiliza huku na huku. Na hata ukiangalia sites za michezo utakuta mtu uko mara BBC Sports, Sky Sports, SI, ESPN, Goal.Com (ila hawa jamaa chai sana), BR, Soccernet etc, ni katika hali ya kujazia mapungufu ya kwingine.

Na pia inategemea na nini unataka kusikiliza, ndo maana kuna mahali nimesema, mimi ni bora kumsikiliza Leakey kwa sababu ataongea vitu vipya masikioni mwangu, hivi wanavyoviongea kina Shafii nakuwa tayari nimeviona, au nimevisikiliza kupitia kwenye source ambazo na wao ndo wanakotoa.
 
Mshabik wa liverpool na ac milan historia tu alichanganyikiwa siku liverpool katandikwa na burnley pale tv 1 kiufundi hayupo vizur ila historia na tamadun za maisha na timu za ulaya yupo vizur technically hamna kitu
Dr ni shabiki wa liver? Mbona alionyesha kadi ya uanachama ya arsenal anaimiliki?
 
Mtu anayejua hapa bongo ni Leaky Abdalah na Eddo Kumwembe,hao wengine wababaishaji tuu,kuna siku Maulid Kitenge aliniacha hoi,akidai eti mshindi wa Kombe la Dunia hapati zawadi ya pesa.
Mkuu hapa umenena
 
Mmeambiwa mtaje mchambuzi gani bora wa michezo; nyie mmekazana kutaja wachambuzi wa Mpira wa miguu tu! Michezo mingine mnamwachia nani? Wengi wa hao mliowataja hawajui hata a, be, che za netiboli, ndondi au kuogelea. Elewa swali kabla ya kukimbilia kujibu
Dr liki yupo vizuri michezo mingi mwambie akutajie bondia aliyepigwa ngumi saba akatoa moshi mdomoni
 
Era zinatofautiana,

Wengi wetu ambao ni Old Schools tutamtaja Dr Leakey Abdallah, ambapo then unakuja kumwona Edo Kumwembe anajaribu kuiga vitu vingi kutoka kwa mzee huyu. These guys go extra mile to give you some of the info that you don't easily find on the internet.

Hawa wengine unakuta ni copy paste kutoka kwenye mitandao ya majuu, they exactly tell what we also have read.
[emoji736] [emoji736]
 
1. oscar oscar jr mchambuzi na mtangazaji michezo super sports na e_fm
2. kilumanga wa magic fm
3. shaffih wa clouds fm
4. eddo kumwembe wa super sports na azam
5. ibrahim masoud maestro,, supersports/e_fm
 
Mimi naamini muanzisha thread alikua namaana zaidi ya uchambuzi wa football,kama sivyo utaniwia radhi.

Kwenye soka Dr leaky nampa nafasi halafu kuna huyu Haji manara wengi wenu naona hamumkumbuki akisimama kwenye uchambuzi ni mzuri Sana.

Kwasasa angalau Edo, Oska oska na tactically and technically Mwalimu Kashasha yuko sawa.
 
mimi kwa michezo ya kimataifa kura kwa GEORGE aisee huyu jamaa hua nimetegesha alarm nimsikilize.
 
Back
Top Bottom