Wewe ni mwehuWote wanazama INTERNET wanatazama taarifa before kipindi,, then wanakuja kutudanganya sisi,,,mchambuzi bora ni BANDO LAKO LA INTERNET... mm huwa siwasikilizi hao,,,
Mshabik wa liverpool na ac milan historia tu alichanganyikiwa siku liverpool katandikwa na burnley pale tv 1 kiufundi hayupo vizur ila historia na tamadun za maisha na timu za ulaya yupo vizur technically hamna kituMimi namuelewaga sana Dr. Leaky sipendi mpira ila namuelewa sana yule baba
Mshabik wa liverpool na ac milan historia tu alichanganyikiwa siku liverpool katandikwa na burnley pale tv 1 kiufundi hayupo vizur ila historia na tamadun za maisha na timu za ulaya yupo vizur technically hamna kitu
Hatali!! We jamaa kibokoKashasha hatali
Dr ni shabiki wa liver? Mbona alionyesha kadi ya uanachama ya arsenal anaimiliki?Mshabik wa liverpool na ac milan historia tu alichanganyikiwa siku liverpool katandikwa na burnley pale tv 1 kiufundi hayupo vizur ila historia na tamadun za maisha na timu za ulaya yupo vizur technically hamna kitu
Mkuu hapa umenenaMtu anayejua hapa bongo ni Leaky Abdalah na Eddo Kumwembe,hao wengine wababaishaji tuu,kuna siku Maulid Kitenge aliniacha hoi,akidai eti mshindi wa Kombe la Dunia hapati zawadi ya pesa.
Dr nuksi sana sitamsahau kombe la dunia 1998Dr.Leakey Abdallah huyu ndio fundi pekee tanzania imewahi kupata.He gives u full package
Dr liki yupo vizuri michezo mingi mwambie akutajie bondia aliyepigwa ngumi saba akatoa moshi mdomoniMmeambiwa mtaje mchambuzi gani bora wa michezo; nyie mmekazana kutaja wachambuzi wa Mpira wa miguu tu! Michezo mingine mnamwachia nani? Wengi wa hao mliowataja hawajui hata a, be, che za netiboli, ndondi au kuogelea. Elewa swali kabla ya kukimbilia kujibu
[emoji736] [emoji736]Era zinatofautiana,
Wengi wetu ambao ni Old Schools tutamtaja Dr Leakey Abdallah, ambapo then unakuja kumwona Edo Kumwembe anajaribu kuiga vitu vingi kutoka kwa mzee huyu. These guys go extra mile to give you some of the info that you don't easily find on the internet.
Hawa wengine unakuta ni copy paste kutoka kwenye mitandao ya majuu, they exactly tell what we also have read.
Hujaambiwa utaje bora Duniani umeambiwa taja bora kuliko wenzake Tanzania ukisema hakuna una kosea maana hata kwenye kundi la wajinga Yupo ALIE NAFUUMchambuzi "bora"???
Kwa Tanzania HAKUNA!
Hujaambiwa utaje bora Duniani umeambiwa taja bora kuliko wenzake Tanzania ukisema hakuna una kosea maana hata kwenye kundi la wajinga Yupo ALIE NAFUU
Nimekushika pabaya nn mkuuWewe ni mwehu