Ni mechanism gani iko ndani ya risasi (bullet) kiasi cha kuua kwa kasi?

Risasi inaua haraka kuliko kisu kwa sababu risasi ikutana na tissue za mwanadamu au mnyama kutokana na momontum yake inapolazimisha kupenya kenye mwili husababisha shock(vibration) hivyo hufanya viungo vingi kuharibika.
Mfano kunamtu alipigwa risasi ya bega alikufa papo hapo..kwa sababu ilifanya mstuko kwenye uti wa mgongo na kidislokate ..risasi ikiingia mwilini hufanya uharibifu mkubwa sana kuliko kisu.
 
Risasi huwa inapenda resistance yaani ile sehemu yenye inaiziua isipite mfano mfupa kwaiyo ikikuta nyama sio hatar sana.. ikikuta mfupa inafumua
 
Pamoja na Sumu itokanayo na madini ya risasi. Risasi (Bullet) husababisha majeraha makubwa yapelekeayo kuvuja damu nyingi kwa haraka na kuleta kifo.
Hii inatokana na Mwendokasi wa Risasi wa aina mbili
1. Linear motion amabayo huenda kwa kasi kuliko sauti . Ukisia Paaa ujue amekukosa au umejeruhiwa tayari
2.
Rotational motion, mtutu wa bunduki kwa ndani una mstari inayojizungusha kuifanya risasi ibadili mwendo na kuanza ku rotate. Ndio maana kule risasi inatokea kipenyo huwa kikubwa hivyo husababisha mtikisiko wa eneo kubwa kwa ndani na kuharibu internally hatimaye kifo.
 
Maelezo mengi nje ya kilichoulizwa ila maelezo mengine nahisi upo sawa ila hapo kwenye LMG umenikanganya uliposema ni bunduki ya masafa marefu,niweke sawa marefu kivipi tofauti na hizo bunduki atomatic kama SMG na je sifa ipi inayoipa silaha ili iweze kuonekana inasafirisha risasi mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…