Ni mechanism gani iko ndani ya risasi (bullet) kiasi cha kuua kwa kasi?

Ni mechanism gani iko ndani ya risasi (bullet) kiasi cha kuua kwa kasi?

Baba ndani ya mtoto kuna line 4 zilizoviringishwa kuanzia mwanzo mpaka mwisho mwa mtutu risasi inapotoka inatoka kwa kuviringika katika hiyo mistari speed kali inapoingia mahali uviringisha nyama nakufanya uharibifu mkubwa sana jitazamie kideo chini.



Mobile Traveller

Asante, jf kituo cha ujuzi
 
Pamoja ma kwamba risasi yaweza kuwa na aina fulani za sumu kutegemeana na material zulizotumika, bado the speed at which a bullet moves, the impact when hitting target which is determined by kinetic energy Ek = 1/2 x Mass x Velocity^2, the energy obtained by the body in motion causes a very high pressure during impact.

Kama kitu kimehit kichwani, kifuani, maeneo ya moyo, figo, ini....aaah ni mwendo wa dk au sekunde tu.
Nafikiri sheria zinakataza kutumia risasi zenye sumu.
 
Basically bullet inaundwa na madini yanayoipa jina risasi(lead)..hii ni heavy metal and better electro positive metal..cijui unanipata mkuuu???
Hivyo basi hii no sumu Kali endapo ikikutana na mwili...

Nb..1.water taps unapozitumia wanashauri ufungue maji yatiririke takriban 2minutes...ndo uchote maji
2.maji ya kwenye vyungu vya udongo ni hatari kwa afya...??
3.raisi fulani nimemsahau jina aliomba wanasayansi wamtengenezee dawa ya kuishi mda mrefu,yaan ya kurejuvenile cells za mwili...wanasayansi walifaulu kiasi Fulani lakini ndani ya hiyo dawa lead and silver ilikuwemo...kilichotokea n kifo

Umepata concept??


Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Mmmh kumbe
 
kweli mkuu,ila nimestuka kidogo hapo unapoziongelea figo kiunoni,kwa Biology yangu dhaifu nakumbuka figo tunazifuatilia hapo usawa wa mbavu ya mwisho chini lakini kwa nyuma kama unaelekea kwenye uti wa mgongo ila kabla hujaufikia,hata maumivu ya figo unaweza kuyasikilizia hapo.

Nimetumia lugha rahisi ,huwa zipo juu ya mfupa wa nyonga au chini ya mbavu kwa nyuma
 
Watu wengi hawaijui risasi, hiwa wanafikiri ni silver au lead kidogo naomba niwatoe tongo tongo:
Kuna aina nyingi ya risasi kwa ajili ya matumizi mbalimbali, lakini ambazo hutumika kuulia binadamu kwa ndani huwa ni kipande cha chuma ambacho kimefanyiwa coating ya copper, lead au nickel. Ganda ndilo huwa limebeba mripuko na kichwa ndio kinachosafiri na kwenda kwenye target.
086ff078b8e769913aac6d01816432de.jpg
657f6087b0aaac2f90dfaf603ca7a732.jpg
c27c048fe311e8ff54b1bbba32a09fde.jpg

Hapo kwenye hizo picha, ni risasi na inavyokaa kwenye silaha hicho kichwa huelekea mbele na nyuma ya ganda kuna ka sehemu ambako ndio kuna kiwashio ambacho huwasha baruti ya kwenye risasi, kutokana na aina na wingi wa baruti inayokuwemo kwenye ganda, ndio inayoipa kasi ya kutoka kwa spidi kali [supersonic].[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Mtuambie na jinsi ya kukwepa risasi,maana tunaona tu kwenye movie


Risasi haikwepwi kwa sarakasi wala mazingaombwe ya habari za vita ya maji maji 1905-1907 .

Risasi inakwepwa kwa njia mbili tu
1. Labda ulale kabla haijafyatuliwa. Mfano, Ukiona mtu anainua silaha ili akulenge basi lala faster hapo unaweza ukaikwepa risasi .

Japo , itategemeana na uwezo wako wa kulala kabla haijaachiliwa pia na uwezo wa mpigaji maana mpigaji akiwa na uwezo hata ukilala faster anaweza akapiga ya juu ikakudondokea ulipolala kisha ukalala daima .

2.kujikinga kwenye sehemu ambayo risasi haiwezi kupenya mfano, bullet proof vest au miamba/mawe magumu.

Bila hivyo, you're a dead body or badly injured.
 
Basically bullet inaundwa na madini yanayoipa jina risasi(lead)..hii ni heavy metal and better electro positive metal..cijui unanipata mkuuu???
Hivyo basi hii no sumu Kali endapo ikikutana na mwili...

Nb..1.water taps unapozitumia wanashauri ufungue maji yatiririke takriban 2minutes...ndo uchote maji
2.maji ya kwenye vyungu vya udongo ni hatari kwa afya...??
3.raisi fulani nimemsahau jina aliomba wanasayansi wamtengenezee dawa ya kuishi mda mrefu,yaan ya kurejuvenile cells za mwili...wanasayansi walifaulu kiasi Fulani lakini ndani ya hiyo dawa lead and silver ilikuwemo...kilichotokea n kifo

Umepata concept??


Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Hapana , sababu kuu ni pressure effect to the body tissues resulted from conversion of kinetic energy.
Ndio maana mtu akipigwa risasi ya mkono ,ataendelea kua hai kwa muda mrefu kwa kadri upotevu wa damu utakavyokuwa umedhibitiwa Lakini ukipigwa risasi ya kifua au uti wa mgongo au kichwa , you won't make it for sufficient time to survive
Ndio maana katika treatment protocol ya bullet wounds hakuna kipengele cha poison decontamination
 
Mbona ni mechanism ndogo tuu,

Hapo ni ganda lililojazwa madini ya mlipuko(explosive) au baruti,njia kuu inayo tumika ni ku ingnite au kuiwasha kwa kuigonga kwa ntuma ili kizibo ambacho ni risasi kitoke kwa nguvu ya mlipuko.

Kugongwa kwa nyuma,ni kitu kidogo sana,nacho ni kibolt kinacho rushwa kwa spring maalum.

Very simple.
Wewe umeleza kwa lugha rahisi na umeeleweka vizuri sana.Very good.
Sasa kuna wengine wanakuja hadi na ma formula ya physics humu,ila hakuna kitu wanajua.
 
Risasi imejengwa ktk sehem kuu 5,

1-balut .
Balut ni chemical maalum iliotengenezwa kitaalam ,chemical hiyo inaweza kua unyevu au ukavu lakini inalipuka.

2-ganda la risasi.

3-prima.
Ni ile sehem ya kitako cha risasi,

4-cutredge case.
Ni ile sehem risasi ilipounganishwa kati ya kichwa na mwili,

5-properant .
Kichwa cha risasi chenyewe.

Kwenye bunduki kuna vitu muhimu vinavyoshugulika na risasi kulipuka.ambavyo ni ,
Firelling pin,msumari.
Spring leaf. inayokamata huo msumali kwenye mitambo ya triger ,
Unapovuta kockinghandel,msumari unakaa tayari,ukivuta trigger spring inasukuma msumari kwa kasi na kugonga kwenye kitako cha risasi na risasi hainabudi kulipuka na kichwa cha risasi na mwili vinaachana kwa kasi ,mwili wa risas unabaki na kichwa kinatoka nje kwa kasi kwa kufuata mtutu.SMG inatembea kwa sekunde mita 540 umbali wa kutua mita 2160.

TAHADHARI .
RISASI SIO LAZIMA IWEKWE KWENYE BUNDUKI PEKEE NDIO ILIPUKE.UKIOKOTA KITU NAMNA KIYO KISALIMISHE HARAKA KWENYE VYOMBO VYA USALAMA ,MAANA HATA UKIIWEKA KWENYE MOTO ITALIPUKA KWA HARAKA SANA,NA KWAVILE ITAKUA HAINA UELEKEO KAMA MTUTU BASI KUNA HATARI YA KUKUDHURU WEWE MWENYEWE AU HATA WA KALIBUYAKO.
 
Kuna zile bunduki za kuwindia unaweka kipisi cha nyondo Milimita 16 kama sikosei, akikufumua ya kifua uti wa mgongo una banduka, akikufumua ya kichwa ubongo unatoka na kuruka umbali wa kilomita 6....
DUUH!
 
Mbona ni mechanism ndogo tuu,

Hapo ni ganda lililojazwa madini ya mlipuko(explosive) au baruti,njia kuu inayo tumika ni ku ingnite au kuiwasha kwa kuigonga kwa ntuma ili kizibo ambacho ni risasi kitoke kwa nguvu ya mlipuko.

Kugongwa kwa nyuma,ni kitu kidogo sana,nacho ni kibolt kinacho rushwa kwa spring maalum.

Very simple.
Umenikumbusha mbali sana return spring mechanism (R. S. M)

SIJUI KESHO.
 
Kuna bro mmoja street,ailipigwa risasi mguuni na polisi baada ya kuiba Gari Malawi,...alifanikiwa kutoroka ...akakaa masaa 43 ndipo akaenda hospital kuitoa

Matokeo
1.mguu ulikuwa kama masizi
2.sumu imeshambulia mapafu(alveoli)
Baada ya masaa mawili mauti ilimpata

Wasiwasi wangu ni pale unaposema kitu chochote kikikaa sehemu sio take huleta madhara..ni sahihi ila risasi INA sumu mkuu

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Mkuu risasi HAINA sumu ila kwa case ya huyo jamaa inawezekana akawa alipata INFECTION(MAAMBUKIZI) Kupiyia kwny majeraha ya hiyo risasi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali langu nililo uliza juu ya wale wanaoishi na risasi mwilini huwa inakuwaje? Nini kutokea mpaka hiyo risasi ishindwe kupenya mpaka nje Kama ilivyoelezewa na wadau hapo kuhusu kasi na nguvu ya mkito wake.

Kama ina sumu habari , Je inakuwaje mtu aishi na sumu habari ya risasi mwilini tena kwa miaka kadhaa.??
 
Mbona ni mechanism ndogo tuu,

Hapo ni ganda lililojazwa madini ya mlipuko(explosive) au baruti,njia kuu inayo tumika ni ku ingnite au kuiwasha kwa kuigonga kwa ntuma ili kizibo ambacho ni risasi kitoke kwa nguvu ya mlipuko.

Kugongwa kwa nyuma,ni kitu kidogo sana,nacho ni kibolt kinacho rushwa kwa spring maalum.

Very simple.
Mkuu kula like,kuna watu wanaelezea risasi inapokua imetoka kwa speed lkn hawajaelezea nn kinasababisha risasi iwe na speed ambayo inaweza kua haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye risasi kwa nyuma kunakuwa na nafasi ambako hukaa unga wa risasi/gun powder. Ukivuta trigger kuna kanyundo hugonga risasi kwa nyuma na kusababisha unga wa risasi kuwaka. Mlipuko huo husababisha pressure kubwa sana maana hewa iliyopo hupata moto ghafla. Pressure hiyo husukuma risasi kwa kasi mbele sababu ndiyo sehemu pekee ya kutokea. Kuna wale wa magibole hukatika vidole. Unakuta wameweka gun powder nyingi hivyo ikilipuka hutengeneza pressure kubwa kiasi risasi inatokea pale kwenye trigger.

Mechanism yake haitofautiani sana na pressure kutokana na kuwaka kwa mafuta huendesha piston kwenye gari.
Shukran mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom