Ni mechanism gani iko ndani ya risasi (bullet) kiasi cha kuua kwa kasi?

Ni mechanism gani iko ndani ya risasi (bullet) kiasi cha kuua kwa kasi?

Basically bullet inaundwa na madini yanayoipa jina risasi(lead)..hii ni heavy metal and better electro positive metal..cijui unanipata mkuuu???
Hivyo basi hii no sumu Kali endapo ikikutana na mwili...

Nb..1.water taps unapozitumia wanashauri ufungue maji yatiririke takriban 2minutes...ndo uchote maji
2.maji ya kwenye vyungu vya udongo ni hatari kwa afya...??
3.raisi fulani nimemsahau jina aliomba wanasayansi wamtengenezee dawa ya kuishi mda mrefu,yaan ya kurejuvenile cells za mwili...wanasayansi walifaulu kiasi Fulani lakini ndani ya hiyo dawa lead and silver ilikuwemo...kilichotokea n kifo

Umepata concept??

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Kula gwala!umesomeka vyema

Ova
 
Mbona ni mechanism ndogo tuu,

Hapo ni ganda lililojazwa madini ya mlipuko(explosive) au baruti,njia kuu inayo tumika ni ku ingnite au kuiwasha kwa kuigonga kwa ntuma ili kizibo ambacho ni risasi kitoke kwa nguvu ya mlipuko.

Kugongwa kwa nyuma,ni kitu kidogo sana,nacho ni kibolt kinacho rushwa kwa spring maalum.

Very simple.
 
Kati ya vitu ambavyo mpka leo vinanipa shida ni kushindwa kujua ni mechanism gani iko ndani ya risasi (bullet) kiasi cha kuua kwa kasi, kwa sababu kuna vitu mfano kisu ni kikubwa kinaweza kukita ndani ya mwili wa binadam still mtu akawa hai kwa muda fulani kuliko majeruhi wa risasi....tafadhali wenye Kujua

Sent from my HUAWEI TIT-U02 using JamiiForums mobile app
Mkuu kinachoua kwa haraka kwenye Risasi ni pressure ambayo risasi inakuja nayo, mfano nguvu ya mlipuko wa risasi ni Tani 2 hadi 7 inamaana kama mzigo huo wa pressure unaweza ukainyanyua pick up kubwa. hizi risasi wanazotumia majeshi yetu zenye size ya 7.2mm*39 ina speed ya 776m/s riffle. Uharibifu unaofanya risasi ni zile shock wave inayoambatana na speed pamoja na upepo [waves] inayotembea nayo.
Haimaanishi risasi ina sumu, japo content yake ni Steel core, Lead Jacket ikifunikwa na Bullet Jacket yenyematerial ya bass au mchanganyiko wa copper nk inategemea ni risasi ya aina gani na bunduki gani
 
Kwa ujinga nikionao nikwamba baada ya ule mlipuko wa baruti kunakile kikofia cha shaba pale mbele ambacho ndio risasi yenyewe hufyatuka kwa kasi ya ajabu nahuwa kamekolea moto
 
Siyo kila anayepigwa na risasi anakufa inategemea na sehemu aliyo pigwa
Risasi inapotoka kwenye mtutu hutoka kwa speed kali na huenda ikiwa inajizungusha ikitua mwilini huviringisha nyama kutokana na mzunguko wake na ndomana inapoingilia panakuwa padogo ila inapo tokea inafumua (tundu linakuwa kubwa)

Hivo kama mtu amelengwa sehemu nyeti hachukui time hata kidogo. Hivo kuna tofauti mkubwa na kisu

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Basically bullet inaundwa na madini yanayoipa jina risasi(lead)..hii ni heavy metal and better electro positive metal..cijui unanipata mkuuu???
Hivyo basi hii no sumu Kali endapo ikikutana na mwili...

Nb..1.water taps unapozitumia wanashauri ufungue maji yatiririke takriban 2minutes...ndo uchote maji
2.maji ya kwenye vyungu vya udongo ni hatari kwa afya...??
3.raisi fulani nimemsahau jina aliomba wanasayansi wamtengenezee dawa ya kuishi mda mrefu,yaan ya kurejuvenile cells za mwili...wanasayansi walifaulu kiasi Fulani lakini ndani ya hiyo dawa lead and silver ilikuwemo...kilichotokea n kifo

Umepata concept??

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Cha kuongezea, hata maandishi ya magazeti na printers yanatumia Lead, hivyo epuka kufungiwa maandazi na chapat kwenye magazeti yaliyochapwa
 
Asanteni kwa kutujuza

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Kati ya vitu ambavyo mpka leo vinanipa shida ni kushindwa kujua ni mechanism gani iko ndani ya risasi (bullet) kiasi cha kuua kwa kasi, kwa sababu kuna vitu mfano kisu ni kikubwa kinaweza kukita ndani ya mwili wa binadam still mtu akawa hai kwa muda fulani kuliko majeruhi wa risasi....tafadhali wenye Kujua

Sent from my HUAWEI TIT-U02 using JamiiForums mobile app
Haina mechanism yoyote zaidi ya kutembea kwa kasi na jinsi inavyotembea huwa kama inazunguka, kiasi kwamba inapoingia sehemu huvuruga misuli na neva za eneo hilo haraka sana
https://www.quora.com/Why-does-a-bullet-kill-faster-than-a-knife

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Baba ndani ya mtoto kuna line 4 zilizoviringishwa kuanzia mwanzo mpaka mwisho mwa mtutu risasi inapotoka inatoka kwa kuviringika katika hiyo mistari speed kali inapoingia mahali uviringisha nyama nakufanya uharibifu mkubwa sana jitazamie kideo chini.

Mobile Traveller
 
Je vp kwenye pistol? Maana hiyo uliyoongelea ni rifle.

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Kuna zile bunduki za kuwindia unaweka kipisi cha nyondo Milimita 16 kama sikosei, akikufumua ya kifua uti wa mgongo una banduka, akikufumua ya kichwa ubongo unatoka na kuruka umbali wa kilomita 6....
Ila wewe ni muongo kweli [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
 
Kitu chochote kikikaa sehemu sio yake kwa muda husababisha madhara, je unasemaje hapo?

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Kuna bro mmoja street,ailipigwa risasi mguuni na polisi baada ya kuiba Gari Malawi,...alifanikiwa kutoroka ...akakaa masaa 43 ndipo akaenda hospital kuitoa

Matokeo
1.mguu ulikuwa kama masizi
2.sumu imeshambulia mapafu(alveoli)
Baada ya masaa mawili mauti ilimpata

Wasiwasi wangu ni pale unaposema kitu chochote kikikaa sehemu sio take huleta madhara..ni sahihi ila risasi INA sumu mkuu

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Baba ndani ya mtoto kuna line 4 zilizoviringishwa kuanzia mwanzo mpaka mwisho mwa mtutu risasi inapotoka inatoka kwa kuviringika katika hiyo mistari speed kali inapoingia mahali uviringisha nyama nakufanya uharibifu mkubwa sana jitazamie kideo chini.

Mobile Traveller

mi nlijua inapenya tu na kujibana ndani...kumbe inaharibu sehemu kubwa hivo??
 
Back
Top Bottom