20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Ngoja nikujuze kwanza tofauti zao.
MAPIGO NA UPENYAJI
Kifaa kinachorusha risasi huwa inatuma risasi kwa nguvu sana ukilinganisha na mkono..
Kisu hiko hiko kingetumwa kwa nguvu kama ya risasi ungeona tokeo lake lilivo.
Kani inayorusha inafanya kupenya kwa risasi kuwa sana kuliko kasi inayochomwa na kisu kwa mkono.
Pia target , mara nyingi mtu anaetumia risasi anaamini nguvu na huweza wake hivyo hulenga sehemu hatari kama kichwani kifuani n.k bila kujali upinzani wa mifupa wa sehemu hizo.
Ila kisu mtu anataget sehemu ambayo kisu kitapenya kwa urahisi na sio pale panapo leta athari kubwa.
Kwa hiyo mtu ataye pigwa risasi begani na mwingine akapigwa kisu cha moyo kikapita hasa unahisi nani atakufa haraka?
siko vile nilivyokuwa, haimaanishi nipo tofauti.