Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kumbe tuko pamoja, usiku wa soka! Beckham alikuwa kakosana na Ferguson, kaingizwa tu katenga faulo akatupia, Ronaldo anamfunga barthez kwa style ya kumchungulia, del Bosque anaonyesha kuwa Ronaldo anatumia akili sana, the phenomenon!! Ni Sheedaah!!Real Madrid 3-4 Man U hii 2003 Champions League hii mechi ilikua yakukata na shoka kat ya magwiji hao wa mpira duniani. Huku kukiwa na Zinedine Zidane Roberto Carlos Ronaldo Delima Madrid David Beckham Giggz Paul Scholes ilikua bonge la game piga nikupige. Sitasahau hii mechi nakumbuka goli la mwisho nilisaidia kufunga nikavunja meza ya kioo ya mshua. Ilikua noma
Mkuu kumbe tuko pamoja, usiku wa soka! Beckham alikuwa kakosana na Ferguson, kaingizwa tu katenga faulo akatupia, Ronaldo anamfunga barthez kwa style ya kumchungulia, del Bosque anaonyesha kuwa Ronaldo anatumia akili sana, the phenomenon!! Ni Sheedaah!!
Hakika mkuu!! Goli 7 katika usiku mmoja! Aisee sijawahi ona usiku wa soka kama ule, funga nikufunge! Ni shida arif!Ilikua hatari sana mkuu siku ile soka ilipigwa sijawahi kuona. Never forget that day
Yeah lilitokana na corner kama nakumbuka fresh, nilichopenda baada ya refa kukataa lile goli hawakupaniki na kumzonga, waliendelea kucheza tu. Kaka alichukua Man of the tournament.Hiyo mechi umenikumbusha bro. Kaka alipiga mpira nadhani ilikuwa Maximum pale, alifunga goli likakataliwa aisee. Hapo ndio ninapo ona umuhimu wa GLT (Goal Line Technology)
typing error wakati umepatia? kama ulijua umekosea kutype kwanini hukukubali ukaendelea kubisha?wewe ndo hujui kuna vi2 unaweza ona ni typng error ya nn unaleta ubishi wa shule ya msingi...au ni shabiki wa man u nini...!!???
typing error wakati umepatia? kama ulijua umekosea kutype kwanini hukukubali ukaendelea kubisha?
mwenzio aliyekuwa anakutetea kakimbia, haya na wewe toka ndukiumeshinda....shangilia basi..!!!
mwenzio aliyekuwa anakutetea kakimbia, haya na wewe toka nduki
Stoke 6 - LIVERFOOL 1
Mkuu kumbe tuko pamoja, usiku wa soka! Beckham alikuwa kakosana na Ferguson, kaingizwa tu katenga faulo akatupia, Ronaldo anamfunga barthez kwa style ya kumchungulia, del Bosque anaonyesha kuwa Ronaldo anatumia akili sana, the phenomenon!! Ni Sheedaah!!
Mi cwezi kusahau mechi fulani ya uefa ambayo zinedine yazid zidane aliunganisha kross moja matata kwa guu lake la kushoto akafunga goli fulani la maana. Sina kumbukumbu zaidi.....
Upo sawa mkuu. Kuna kitu waliita no 17 ya mkosi. Donadoni alikuwa akivaa jezi no ngapi? Angalia record zako vizuri...hii kitu iliandikwa mpaka na gazeti la chama wakati huo UHURU.