Ni mechi zipi za soka hutozisahau kamwe?

Ni mechi zipi za soka hutozisahau kamwe?

Man Utd 4 - 4 Everton

Hii ndo mechi iliotukosesha ubingwa ambao Man City alichukua kwa goli la dakika ya 93
 
Real Madrid 3-4 Man U hii 2003 Champions League hii mechi ilikua yakukata na shoka kat ya magwiji hao wa mpira duniani. Huku kukiwa na Zinedine Zidane Roberto Carlos Ronaldo Delima Madrid David Beckham Giggz Paul Scholes ilikua bonge la game piga nikupige. Sitasahau hii mechi nakumbuka goli la mwisho nilisaidia kufunga nikavunja meza ya kioo ya mshua. Ilikua noma
Mkuu kumbe tuko pamoja, usiku wa soka! Beckham alikuwa kakosana na Ferguson, kaingizwa tu katenga faulo akatupia, Ronaldo anamfunga barthez kwa style ya kumchungulia, del Bosque anaonyesha kuwa Ronaldo anatumia akili sana, the phenomenon!! Ni Sheedaah!!
 
Ilikua hatari sana mkuu siku ile soka ilipigwa sijawahi kuona. Never forget that day
 
Hiyo mechi umenikumbusha bro. Kaka alipiga mpira nadhani ilikuwa Maximum pale, alifunga goli likakataliwa aisee. Hapo ndio ninapo ona umuhimu wa GLT (Goal Line Technology)
Yeah lilitokana na corner kama nakumbuka fresh, nilichopenda baada ya refa kukataa lile goli hawakupaniki na kumzonga, waliendelea kucheza tu. Kaka alichukua Man of the tournament.
 
wewe ndo hujui kuna vi2 unaweza ona ni typng error ya nn unaleta ubishi wa shule ya msingi...au ni shabiki wa man u nini...!!???
typing error wakati umepatia? kama ulijua umekosea kutype kwanini hukukubali ukaendelea kubisha?
 
Mi cwezi kusahau mechi fulani ya uefa ambayo zinedine yazid zidane aliunganisha kross moja matata kwa guu lake la kushoto akafunga goli fulani la maana. Sina kumbukumbu zaidi.....
 
Simba 1 Majimaji 1. ilikuwa 1991 Majimaji stadium,Gebo Peter mapema kipindi cha kwanza liifungia Simba, Celestine "Sikinde" Mbunga alisawazisha dakika ya 87 krosi ya Mchunga Bakari. Ulipigwa mpira "mwingi" mno, siwezi kusahau.
 
Mkuu kumbe tuko pamoja, usiku wa soka! Beckham alikuwa kakosana na Ferguson, kaingizwa tu katenga faulo akatupia, Ronaldo anamfunga barthez kwa style ya kumchungulia, del Bosque anaonyesha kuwa Ronaldo anatumia akili sana, the phenomenon!! Ni Sheedaah!!

De lima anatoka, uwanja mzima unasimama kumshangilia
 
Mi cwezi kusahau mechi fulani ya uefa ambayo zinedine yazid zidane aliunganisha kross moja matata kwa guu lake la kushoto akafunga goli fulani la maana. Sina kumbukumbu zaidi.....

Ilikuwa fainali ile dhidi ya Bayer Leverkusen ya akina Ballack, Berbatov, Lucio, Oliver Neuville na wengineoo
 
mechi nyingine ni hii;
Arsenal vs Leeds United, hii mechi ilikuwa inapigwa highbury, Leeds walihitaji ushindi ili wabaki Ligi Kuu na kweli Viduka na wenzake walishinda 2-1.

Balaa likawa kwa commentator, jamaa alikuwa ni mnazi wa Leeds na hakuficha mapenzi yake. Alipagawa kwenye kipaza sauti.

Jaribu kuicheki kwenye Youtube ujionee.
 
Upo sawa mkuu. Kuna kitu waliita no 17 ya mkosi. Donadoni alikuwa akivaa jezi no ngapi? Angalia record zako vizuri...hii kitu iliandikwa mpaka na gazeti la chama wakati huo UHURU.

Yaap ni kweli Donadonni alikuea anavaa jezi namba 17
 
Spurs 3-5 Man Utd. 2001.

Spurs aliongoza 3-0 mpaka halftime kabla ya Man Utd kufanya ile comeback ya kihistoria.
 
Southampton 3-1 Man Utd 1996.

Man Utd alilazimika kubadili rangi ya jezi kipindi cha pili kutoka kijivu mpaka blue ili kuondoa mkosi lakini wapi, man utd akafa kilaini tuu.
 
Back
Top Bottom