raraa rereeugonile,
Binafsi kuna members nimemiss sana uwepo wao humu jukwaani lakini kwa bahati mbaya sana humu uhuru umezidi, kuna wengine hawapo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ban, kubadili Id n.k
Regardless ya hizo sababu napenda kutambua uwepo wa hawa members, you're missed so much
Bill Lugano aka kiduku lilo
Analyse
Antonnia
Joline
Madame B
Sky Eclat
ndege JOHN
BAK
Amehlo
@wang`ari mathai
cariha
Asprin
Atoto
hearly
na wengineo wengi
Kiongozi mbn napatika Kila siku humu
DuhGenius kwako mkuu ila humu JF ni tapeli tu. Aliwatapeli wajinga wa JF.
Umenigawa haha nipo ndugu, kwa sasa natumia synonym II