Ni member gani hujamuona muda mrefu lakini umemisi uwepo wake humu jukwaani

Mr bann huyu mwamba kitambo sana na story zake za kuiba bank asee ni shujaa haswa sijui yu wap now
 
Umenigawa haha nipo ndugu, kwa sasa natumia synonym II
Akhy ,As Salaam 'Alaykum Warahmatullaahi Wabarakaatuh. Kumbe bado upo humu kwa Id nyengine? Al hamdulillah. Maana Id yako ile sijaiona ikichangia majukwaani humu siku nyingi. Ile huitumii tena au password umeisahau?

Nimefurahi kujua kumbe upo kwa Id nyengjne. Allah akubariki.
 
Wa'alaikum salam, nipo, vimeo vingi - huwa naingia mara chache, natumia hii tu
 
Huyo BAK itakuwa alitekwaga kitamboo
 
Mi nimewamiss wafuatao
Yoga
TumiaAkili
Humble African
Habibu aka The bold
Umughaka
Da vinc
Malcom Lumumba
Nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…