Ni member gani hujamuona muda mrefu lakini umemisi uwepo wake humu jukwaani

SKY ECLAT wa Tandale mwenzangu upotea sana, au umechange Id's?.
 
Tumia akili, @VUTA-NKUVUTE ,
 
Hapo kwenye orodha yako ni lazima nami ningelianza na huyo Kidukulilo.
 
emperor ; Jamaa alikuwa akitoa madini sana kwenye mada zake enzi hizo kabla watototo wa 2000 hawajabalehe na kulivamia jukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…