Ni member gani hujamuona muda mrefu lakini umemisi uwepo wake humu jukwaani

Asante sana MFALME WETU kwa kutambua uwepo wangu.
Mimi nipo, japo siingii mara kwa mara JF kutokana na changamoto za malezi zinazonikabili.
Si unajua mtoto wa uzeeni alivyo na raha yake?
Ila nipo na tupo pamoja mkuu
🀝🀝🀝
❀️❀️❀️
Asante.
 
Glad to know tuko pamoja Madam 🀝

Kama navokuona unavomdekeza uyo Junior πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…