Ni member gani hujamuona muda mrefu lakini umemisi uwepo wake humu jukwaani

Ni member gani hujamuona muda mrefu lakini umemisi uwepo wake humu jukwaani

ugonile,

Binafsi kuna members nimemiss sana uwepo wao humu jukwaani lakini kwa bahati mbaya sana humu uhuru umezidi, kuna wengine hawapo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ban, kubadili Id n.k

Regardless ya hizo sababu napenda kutambua uwepo wa hawa members, you're missed so much

Bill Lugano aka kiduku lilo
Analyse
Antonnia
Joline
Madame B
Sky Eclat
ndege JOHN
BAK
Amehlo
@wang`ari mathai
cariha
Asprin
Atoto
hearly
na wengineo wengi
Asante sana MFALME WETU kwa kutambua uwepo wangu.
Mimi nipo, japo siingii mara kwa mara JF kutokana na changamoto za malezi zinazonikabili.
Si unajua mtoto wa uzeeni alivyo na raha yake?
Ila nipo na tupo pamoja mkuu
🤝🤝🤝
❤️❤️❤️
Asante.
 
Glad to know tuko pamoja Madam 🤝

Kama navokuona unavomdekeza uyo Junior 😃
 
Back
Top Bottom