Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
Nimeona Post ya Senior Member mmoja akilalamika, nikapata wazo la kuandika hii Thread.

Kuna member humu tunawachukia kutokana na Maandishi yao, Namna ya Uandishi wao, kuna wengine wakiona Uzi mpya umetoka kwa huyo member hawana Muda hata wa kuufungua, zaidi ya Kusonya kimoyomoyo.

Mtaje member ambaye humpendi then tueleze Sababu.

Labda anaweza kupita hapa, akaona jina lake.

Akajirekebisha.
 
Huko ni kuanzisha ugomvi. Kumbuka wewe unaweza kuwa unamchukia mtu mmoja lakini wenzako kibao wakawa wanampenda. Usianzishe chuki dhidi ya mtu kwa kuwa tu wewe humpendi. Hujui wangapi wanampenda,
 
Wote wanashadadia BITOZO.
Sexless etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…