Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
Mathayo 5:44


ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
Mathayo 5:45
 
Nimeona Post ya Senior Member mmoja akilalamika, nikapata wazo la kuandika hii Thread.

Kuna member humu tunawachukia kutokana na Maandishi yao, Namna ya Uandishi wao, kuna wengine wakiona Uzi mpya umetoka kwa huyo member hawana Muda hata wa kuufungua, zaidi ya Kusonya kimoyomoyo.

Mtaje member ambaye humpendi then tueleze Sababu.

Labda anaweza kupita hapa, akaona jina lake.

Akajirekebisha.[/QUOTE)

Nakazia
 
Chuki za nini
Screenshot_20240106-001326~2.png
 
Back
Top Bottom