Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Raha ya Jeiefu naipata kwa mgongano wa mawazo na fikra.......siyo kuchukiana wala kupendana........na usitegemee kuwa utakuwa unasikia yale unayoyapenda tu, lazima ukubali hata usiyoyapenda pia,so Relax tu na maisha yaendelee.

I'm in love with all Jeiefu members hata kama anasema kitu ambacho sikipendi, kwasababu namm kunavitu na comment ambavyo wengine hawavipendi,so tuvumiliane tu na tusichukiane
 
Nimeona Post ya Senior Member mmoja akilalamika, nikapata wazo la kuandika hii Thread.

Kuna member humu tunawachukia kutokana na Maandishi yao, Namna ya Uandishi wao, kuna wengine wakiona Uzi mpya umetoka kwa huyo member hawana Muda hata wa kuufungua, zaidi ya Kusonya kimoyomoyo.

Mtaje member ambaye humpendi then tueleze Sababu.

Labda anaweza kupita hapa, akaona jina lake.

Akajirekebisha.
Yule bibi mdini dini
Shame on her
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi hujalala?! Babu wampeti peti saa ngapi lakini?!!
Tupo time zone tofauti. Nilipo ndiyo kwanza saa kumi na nusu mchana.
 
Mm Ile kikweli hakuna naemchukia ila kuna naowatreat kama difficult guys.na unakuta hatuelewani kwenye topic za sisa ila mshikaji wangu kwenye topic za kilimo.naamini kutofautiana iwe dini,kimo,rangi etc ni zawadi na muujiza toka kwa Muumbaji.
 
Siwapendi wajinga wajinga kama yule Mpumbafu Pumbafu
Mjinga sana yule
 
Member wowote wauza bandari nimetokea kuwachukia sana japo hatujuani
 
Unanza na @ kabla ya ID yake. Cute Wife unaitwa huku.

Bibi huyu kijana msumbufu achana nae, sie tuongelee wale waarabu wa DP World niliokwambia unioze kwao upate khamsa [emoji4][emoji4]

Na lile darasa la dini ulilonipa mbona ndoa naiweza bibi na kwa mume natulia kabisaa wala sikuangushi bibi yangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri sina njaa za kuhongwa!!!

Nina pesa za kutosha za kukulipia pale MUST bila kutegemea mkopo dogo,na nikakupangia apartment forest mpk unagraduate na ukitaka kurudi Dar nakukatia ticket Air Tz go n return bado pesa za kuwahonga pisi za kinyiha na kisafwa zote nakuwekea
Kiburi ni kingi🤣 ole wako!!!
 
Back
Top Bottom