Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Nina pesa za kutosha za kukulipia pale MUST bila kutegemea mkopo dogo,na nikakupangia apartment forest mpk unagraduate na ukitaka kurudi Dar nakukatia ticket Air Tz go n return bado pesa za kuwahonga pisi za kinyiha na kisafwa
miosho mingi😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu emu tuliaa, mbna unamkataa sanaa?? Kwann?? Muache atume bhanaa

We nawe unamuamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulivyo hatupendwi humu angekuwa nazo si angeshaeka kitamboooo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri sina njaa za kuhongwa!!!

Nina pesa za kutosha za kukulipia pale MUST bila kutegemea mkopo dogo,na nikakupangia apartment forest mpk unagraduate na ukitaka kurudi Dar nakukatia ticket Air Tz go n return bado pesa za kuwahonga pisi za kinyiha na kisafwa zote nakuwekea
Kwa sifaa hizi uduguuu ninae, utadhani muhaya wa kaitabaa.

Haya uduguuu nisababishie 50k, serious yaan, nakufaa njaa wee hela unazo?? Matumizi mabaya ya uduguu wallah.
 
Kwanza niliambiwa upo TEKU mshamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

JF raha sana, mtu anasema anamjua mtu asiyemjua

Hebu Mello tuwekee live watu tuwe tunaonekana tucheke na wamongolii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninayo tena wewe wa kwanza mana una domo mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie naonaa kaandika karatasi nzima mbele na nyuma, sio kwa maneno hayo.
 
We nawe unamuamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulivyo hatupendwi humu angekuwa nazo si angeshaeka kitamboooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinambieee.
 
Kwa sifaa hizi uduguuu ninae, utadhani muhaya wa kaitabaa.

Haya uduguuu nisababishie 50k, serious yaan, nakufaa njaa wee hela unazo?? Matumizi mabaya ya uduguu wallah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilitaka nikutumie nimeghairi kwa dharau ulizoanzisha shenzy

Mbona siku ile nilikutumia?!! Ningekuwa na njaa kali si ningepotezea [emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli ningetuma ila SITUMI siku nyingine uwe unaheshimu maboss bwege wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza niliambiwa upo TEKU mshamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

JF raha sana, mtu anasema anamjua mtu asiyemjua

Hebu Mello tuwekee live watu tuwe tunaonekana tucheke na wamongolii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu usinichekeshee, ntazimiaa kwa kuchekaaa, TEKU nacho ni chuo???
 
Woiiiio na sitaki kuonaaaa hizo mamboooo mnaweza kuwa na mambo za kutisha tisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Acha kabisaaaa JF itasimama kwa muda, majukwaa yote yataungana kucheck ilo tukio la kihistoria kuwahi kutokea JF

Maadui wote wataungana kuwa marafiki, kifupi itakuwa tafrani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilitaka nikutumie nimeghairi kwa dharau ulizoanzisha shenzy

Mbona siku ile nilikutumia?!! Ningekuwa na njaa kali si ningepotezea [emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli ningetuma ila SITUMI siku nyingine uwe unaheshimu maboss bwege wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Emu achana na sifaa bhanaa wee, nitumiee hukooo.
Nidharirikee mjinii nawee upooo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sahivi nadevelop kutokaa uduguuu, hadi kuwa Chawaaaaa.
Habari ndo hiyooooo
 
Back
Top Bottom