Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Dah kunayule jamaa anajidai kilakitu anajua alafu anajidai anatukana wenzake sema acha nisimwanike kwa jina ila mshamjua
 
Pumbavu zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko wanamtaka wao?? Afu humu kuna uchizi mwingi watu wanapenda wasipopendwa

Bora wawe single km mimi tu [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] u single wee kuwezaaa??
 
Pumbavu zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko wanamtaka wao?? Afu humu kuna uchizi mwingi watu wanapenda wasipopendwa

Bora wawe single km mimi tu [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Single wewe huyooooo. Au unataka nipige picha msg zako niweke hapaa🤣🤣🤣🏃🏃
 
Single wewe huyooooo. Au unataka nipige picha msg zako niweke hapaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125]
Kumekuchaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupatwa kwa uduguuu, hebu weka msg zake hapaaa tuonee.
Woiiiiih
 
Unawezaje kumchukia mtu usiyemjua ambaye ana ID feki? Hayo ni matumizi mabaya ya chuki. Utakuta unayemchukia hapa ni baba yako bila kujua. Chukulia JF kama burudani tu.
 
Kumekuchaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupatwa kwa uduguuu, hebu weka msg zake hapaaa tuonee.
Woiiiiih

Azitoe wapi anatafuta kiki, yeye atulie tujadili khs wachawi wanaotuzunguka sababu uzi ndio unavyosema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kanstuaa, nkadhanii kwelii bhanaa.
 
Kumekuchaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupatwa kwa uduguuu, hebu weka msg zake hapaaa tuonee.
Woiiiiih
Woiiiii kashatuma msg huku, ataninyima nikijishaua. Sasa nan anataka anyimweeee na haka ka barid ka hapa mjini
Na nimeambiwa nfute nlichokiandika sema nimeshindwa futaaa🤣🤣🤣
 
Woiiiii kashatuma msg huku, ataninyima nikijishaua. Sasa nan anataka anyimweeee na haka ka barid ka hapa mjini
Na nimeambiwa nfute nlichokiandika sema nimeshindwa futaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tumaa hata asikutishee bhanaa.
 
Back
Top Bottom