Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Bro. Nahisi kwa mara ya kwanza umenivunja moyo.
Huyu ni binti hujui alipokeaje hili lililomtokea na hujasikitika pamoja naye.
Haijakaa vizuri rafiki yangu.
Naishia hapa
This isn’t what you should be frustrated about, its pretty much useless to be angry or frustrated.

I have the right to express my feelings to anyone, picha imewekwa public nikiona nzuri nitasema, nikiona mbaya nitasema. au unataka niwe mnafki niseme amefanana na kim Kardashian?

We live in a horrible world which is being overrun by nastiness and cruelty. if you do wish to increase your store of pain and disappointments, it is for your own reasons. kaa kwa kutulia

usiwe dhaifu sana kwa wanawake, be straightforward, be bold and be honest
 
Eee ndiwoooo tukamuombee wizo kwa Mello

Afu mbona km sikuelewi? Au umepata demu mwingine?!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nyie bhanaaa, mnaniacha hoiii.
 
Back
Top Bottom