Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshamba kasema eti alitukana!! Sasa ndio sijajua kamtukana nani?!

Mwambie shem mode amfingulie banaa
Kesho hiyo sasa, wizoo nae kanipokea mie, maana nlikua natembezewa ban km njuguu, nimestaafu sasa. Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa km sio demu, salamu za [emoji441]yake alitumajee??

Shangaa hapo na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumechachuka humu kila mtu anamkana baby wake, mshamba sijapentraaaaa kabisa

Bado na wewe ole wako umkane shem wangu Mjep
 
Kesho hiyo sasa, wizoo nae kanipokea mie, maana nlikua natembezewa ban km njuguu, nimestaafu sasa. Lol

Wanipe na mie nipumzike nipate muda wa kubembeleza baby wangu khaaaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shangaa hapo na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumechachuka humu kila mtu anamkana baby wake, mshamba sijapentraaaaa kabisa

Bado na wewe ole wako umkane shem wangu Mjep
Sasa ungejua mie na Mjep tunavyopigwa vitaa, muulize yeye akuambieee,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF ya mchezoooo, tumeshazoeaaa.
 
Wanipe na mie nipumzike nipate muda wa kubembeleza baby wangu khaaaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaaaa wee, nimuambiee keshoo moder??
 
Sasa ungejua mie na Mjep tunavyopigwa vitaa, muulize yeye akuambieee,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF ya mchezoooo, tumeshazoeaaa.

Weee usinambie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kisa nini sasa? Ila watu wana hekaheka au vocha unazotumiwa udugu?!!

Achana nao km vipi wajinyonge ikiwauma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kamleteeee wizooo wetuuu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lasivyo tunamuambia Extrovert akubondeee.

Kabisa tumsemelee udugu hawezi kumfanyia hivi wizo na wakati wizo alikubali kumcheat hadi bro kisa yeye na mic za kutuma salamu alimpa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weee usinambie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kisa nini sasa? Ila watu wana hekaheka au vocha unazotumiwa udugu?!!

Achana nao km vipi wajinyonge ikiwauma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuambiajee wee muulize akupe mkanda mzimaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna utashtukaaaa, jinsi anavyopewa maneno kuhusu mie,

Basi sisi wenyewe tukikaaa tunachekaaaa, tunawaachia wao uwanja wa kuneng'enekaa vyediiii.
 
Kabisa tumsemelee udugu hawezi kumfanyia hivi wizo na wakati wizo alikubali kumcheat hadi bro kisa yeye na mic za kutuma salamu alimpa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapoooo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan huyu amrudishe wizoo kablaa brooh hajastukaaa, sisi akiulizaa tunamtajaa yeye. Ndo atajua hajuii
 
Nakuambiajee wee muulize akupe mkanda mzimaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna utashtukaaaa, jinsi anavyopewa maneno kuhusu mie,

Basi sisi wenyewe tukikaaa tunachekaaaa, tunawaachia wao uwanja wa kuneng'enekaa vyediiii.

Pumbavu zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko wanamtaka wao?? Afu humu kuna uchizi mwingi watu wanapenda wasipopendwa

Bora wawe single km mimi tu [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Back
Top Bottom