Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Nimeona Post ya Senior Member mmoja akilalamika, nikapata wazo la kuandika hii Thread.

Kuna member humu tunawachukia kutokana na Maandishi yao, Namna ya Uandishi wao, kuna wengine wakiona Uzi mpya umetoka kwa huyo member hawana Muda hata wa kuufungua, zaidi ya Kusonya kimoyomoyo....!

Mtaje member ambaye humpendi then tueleze Sababu.....

Labda anaweza kupita hapa, akaona jina lake.....
Akajirekebisha.
Kuna jamaa umu ndani ya Jf yeye kila habari, trend au matukio atayafungulia nyuzi.

Anajifanya kila kitu na kila nyanja yeye anajua. Ni m'bishi uyo kama mshipa.
Hapendi kukosolewa pale anapokosea na muongo muongo sanaaaaa.

Ni mtu wa kuchukua habari toka vyanzo vingine na ku'paste hapa na kuaminisha watu ni bandiko lake halisi, kwa kifupi jamaa ni zero kabisa.
 
Sio Mzee wa Msata huyo....!?
 
Nikijua ID ni ya manzi huo ugomvi hauamuliki

Inshort I hate story zao huku, comment zao ovyo
 
Back
Top Bottom