Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Me kiranga simchukii ila naonaga watu wanamwona ana akili nyingi lakini me naona wa kawaida Sana yaani hizo akili zinazosemekana anazo NI akili hewa ..gentamicine kiukweli simpendi na wale wote ambao wanapenda kujadili mtu na sio ishu yaani mtu anajifanya kukujua Sana .kwa mfano labda thread ya zamani uliwahi kusema unaishi iringa then baada ya miaka mitatu ukaja ukaanzisha thread nyingine anakuja boya kucomment eti vipi Bado uko iringa huu NI ujinga na shobo
Hupendi wanaojadili mtu badala ya issue, lakini unamjadili Kiranga.

Contradiction.
 
Huwa siangalii post imetoka kwa nani, naangalia hiki kinafaa kusoma au kujifunza kama hakinifai ni chenyewe hakinifai wala sio alie kileta.

Nawaheshimu sana kila membar hapa jf kwani hatulingani kifikra.
Wakati ukijiona huyu ni mjinga anaandika ujinga kuna mwingine ana akili kushinda wewe nae alikiona mjinga utajisikiaje?

Tunatofautiana kifikra kimtazamo na kiuwezo pia, kikubwa kuheshimiana na kusitiriana udhaifu wetu.
 
Liverpool VPN kitendo Cha kuhamasisha tusioane anataka tuishi na upweke.2. mzabzab kushadadia na kuhamasisha wengine walipende tope.3. Beesmom kujifanya anapenda mikuyenge wakati Yeye ni member wa CHAPUTA ya kike😏 na mwisho kabisa ambaye nikimwona moyo wangu unafura Kwa hasira ni Smart911 ila sababu sijui🙄
Chaputa ya kike tena jamani....sasa kwa nini umejiunga huko wakati de liboloz zipo kibao?

Wee liverpool wamchuia nini wakati wee mwenyewe umesema hutaki kuolewa?

Mie wala sio mtumiaji wa tope, napiga story tuu hapa kuburudisha baraza. Hamna ata mwanamke wala mwanaume niliyemla tope. Mie natosheka na moenzi wangu revola basi. Hela yenyewe ipo wapi dada yangu ya kugegeda. Ukiwaza tozo de libolo linanyea lenyewe
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa mara ya kwanza umeongea kama baba mchungaji.daaaa😉
 
Liverpool VPN kitendo Cha kuhamasisha tusioane anataka tuishi na upweke.2. mzabzab kushadadia na kuhamasisha wengine walipende tope.3. Beesmom kujifanya anapenda mikuyenge wakati Yeye ni member wa CHAPUTA ya kike😏 na mwisho kabisa ambaye nikimwona moyo wangu unafura Kwa hasira ni Smart911 ila sababu sijui🙄

Punguza uroho mbaya wa kunyima watu utamu.

UCHAPUTA wakati men are there.

#YNWA
 
Nimeona Post ya Senior Member mmoja akilalamika, nikapata wazo la kuandika hii Thread.

Kuna member humu tunawachukia kutokana na Maandishi yao, Namna ya Uandishi wao, kuna wengine wakiona Uzi mpya umetoka kwa huyo member hawana Muda hata wa kuufungua, zaidi ya Kusonya kimoyomoyo....!

Mtaje member ambaye humpendi then tueleze Sababu.....

Labda anaweza kupita hapa, akaona jina lake.....
Akajirekebisha.
@Bujibuji Simba Nyamaume huyu Babu[emoji81][emoji81]
 
Back
Top Bottom